Kumbukizi: Ruge Mutahaba, shujaa jasiri muongoza njia

Sallam sk ndiye aliyemuunganisha Diamond na Davido,sababu Sallam alikuwa muwakilishi wa Davido Africa mashariki kama ilivyokuwa kwa Sanday (meneja wa wizkid) ana mmeneja wa Diamond kwa nchi za magharibi.Kwa maelezo zaidi ingia Global publisher tafuta mahojiano ya Sallam sk na kama hujui behind ya mafanikio ya AY sallam ndiye alikuwa akimmeneji AY pamoja na kampuni yake ya Unity.
Soma thread ya mahojiano ya Sallam na Global Publisher utamuelewa Sallam Sk.

Diamond mtu wa kwanza kuamini uwezo wake ni Papaa misifa ndiye aliyekuwa meneja wake wa kwanza,wa pili ni Raquel mmiliki wa kampuni ya upiga picha,graphics na kudesign website na utengenezaji tamthilia (I-VIEW) ,baadaye Ruge akaona dogo ana potential katika market,so akaamua wafanye biashara na ndio Diamond are forever zilipo anza.Ila mwenye mchango mkubwa mwenye mziki wa Diamond na aliyekubali kuwekeza kwa Diamond mwanzoni ni PAPA MISIFA yy ndiye anaye style sifa.
Rip Ruge.
SIO kweli diamond alikaa muda mfupi sana aljazeera entertainment ya papa misifa then akaondoka kwasababu kuna vitu Fulani KWENYE upande WA management havikuenda sawa kumbuka hapo ni kabla ya MOYO WANGU,mawazo n.k alipodondoka KWENYE mikono ya ruge alifanywa kuwa mkubwa Mara 10 ya alivyokuwa before
 
Kwanza kaa ukijua Diamond alikataliwa THT ambayo ipo chini ya Ruge,akaambiwa hajui kuimba.Ushahidi huo hapo Mwasiti anaongea

Papaa Misifa aka take Risk ya kuwekeza hela kwa Diamond akamchukua na kumtrain baada ya Miaka miwili Mond akaanza kuachia Nyimbo.Papa Misifa anadai hakuwahi kugombana na Mondi ila watu aliowaachia wamsimamie Mondi ndiye waliogombana na Mondi.Kwani yy alikuwa busy na shughuli zake za kibiashara.Mondi akamfuata Papa Misifa na kumwambia anataka kuvunja mkataba Papaa akamwambia alipe mil 500 ,Mondi akambembeleza kwamba uwezo wake ni mil 100 Papa Misifa akakubali na Mondi akamlipa hela yote.
Hapa Papaa akiliongelea swala hilo.

So Mondi anaondoka kwa Papa Misifa tayari alikuwa na jina EA,baada ya hapo akakutana na Jamaa mmiliki wa I-view Raqey akawa meneja wake na Project yake ya kwanza kutoa baada ya kuondoka kwa Papa Misifa nataka kulewa 2012.

Baadaye nae jamaa wa I-View akamwambia mimi nimebanwa nashughuli ,Mondi akawafuata Fela na Tale akawaomba wammeneji na hapo akakutana na Ruge,Ruge aliona Potential ya Diamond kwenye mziki kibiashara akaona wafanye Biashara japokuwa mwanzoni alikataa risk ya kuweka hela kwa Mondi wakati akiwa THT.

Baadaye Diamond akaona biashara yake na Ruge haina maslahi ndipo Mondi akaamua kuachana na Ruge na kujitegemea yy mwenyewe mpaka hivi leo.Ruge kupitia THT alimkataa Mondi ila Papa Misifa alikubali kuchukua Risk ya kuwekeza hela yake kwa kipindi cha miaka 2 bila faida na kumtrain Diamond huyu tunaye mwona,so watu muhimu ktk mziki wa Diamond ni Papaa Misifa ambaye kwa imani aliweka hela yake na Bob Junior aliye mtrain Diamond kuimba kwani mwanzo alikuwa hajawiva na alikuwa akirap.
 
Maneno memgi ila hujui kuwa fiesta ya 2004 Huyo Diamond alipanda uwanja wa posta kijitonyama yeye na sheta Kama upcoming artists.. Nadhani ulikuwa bado hujaja mjini.
 
We mwenye maneno machache,kuna tofauti kati ya kupanda kwenye jukwaa na kuinvest hela kwa msanii kupaanda jukwaani hamna risk,ila kuinvest kwa msanii aliyekataliwa kwa kuwa hajui kuimba jua kuna RISK.

Nilikwambia mimi NAZUIA RISASI YA AK47 KWA S500.
 
Dogo huna unalolijua. You better https://jamii.app/JFUserGuide Down You Dirty Mouth.
 
Kwanza kaa ukijua Diamond alikataliwa THT ambayo ipo chini ya Ruge,akaambiwa hajui kuimba.Ushahidi huo hapo Mwasiti anaongea

Papaa Misifa aka take Risk ya kuwekeza hela kwa Diamond akamchukua na kumtrain baada ya Miaka miwili Mond akaanza kuachia Nyimbo.Papa Misifa anadai hakuwahi kugombana na Mondi ila watu aliowaachia wamsimamie Mondi ndiye waliogombana na Mondi.Kwani yy alikuwa busy na shughuli zake za kibiashara.Mondi akamfuata Papa Misifa na kumwambia anataka kuvunja mkataba Papaa akamwambia alipe mil 500 ,Mondi akambembeleza kwamba uwezo wake ni mil 100 Papa Misifa akakubali na Mondi akamlipa hela yote.
Hapa Papaa akiliongelea swala hilo.

So Mondi anaondoka kwa Papa Misifa tayari alikuwa na jina EA,baada ya hapo akakutana na Jamaa mmiliki wa I-view Raqey akawa meneja wake na Project yake ya kwanza kutoa baada ya kuondoka kwa Papa Misifa nataka kulewa 2012.

Baadaye nae jamaa wa I-View akamwambia mimi nimebanwa nashughuli ,Mondi akawafuata Fela na Tale akawaomba wammeneji na hapo akakutana na Ruge,Ruge aliona Potential ya Diamond kwenye mziki kibiashara akaona wafanye Biashara japokuwa mwanzoni alikataa risk ya kuweka hela kwa Mondi wakati akiwa THT.

Baadaye Diamond akaona biashara yake na Ruge haina maslahi ndipo Mondi akaamua kuachana na Ruge na kujitegemea yy mwenyewe mpaka hivi leo.Ruge kupitia THT alimkataa Mondi ila Papa Misifa alikubali kuchukua Risk ya kuwekeza hela yake kwa kipindi cha miaka 2 bila faida na kumtrain Diamond huyu tunaye mwona,so watu muhimu ktk mziki wa Diamond ni Papaa Misifa ambaye kwa imani aliweka hela yake na Bob Junior aliye mtrain Diamond kuimba kwani mwanzo alikuwa hajawiva na alikuwa akirap.

YOTE haya nayajua TENA NAMKUMBUKA THT walimkataa mond wakamchukua barnaba,and by that time ilikua SIO rahisi kumuamini coz kiukweli jamaa alikua hajui kuimba na alikuwa haimbi km anavyoimba leo pili alipokuwa al Jazeera mond hakuwa mkubwa east afrika coz alikuwa BADO hajatoa ngoma Kali km NATAKA kulewa,KESHO,my number one(kumbuka my no 1 ndio ilimfanya jamaa akawa giant e.Africa na africa) halafu Mimi singumzii aliyemtoa mond MI namzungua aliyemfanya jamaa awe super giant ni ruge
 
Alyemfanya awe super Giant ni Sallam na juhudi zake mwenyewe.

Yes juhudi binafsi hiki ndicho kilichomfanya jamaa awe super giant,you hit the point coz hata Huyo sallam hajakutana Naye kitambo sana na sallam alikuwa ni meneja WA ay na ay hakuwahi kuwa mkubwa km mond japokuwa huyo sallam HADI Leo hii ni meneja wake ay japokuwa mchango WA ruge BADO ni mkubwa na hauwezi kuacha kukumbukwa hata kidogo
 
Huo mtizamo wako lkn kwangu watu wenye mchango mkubwa kwa Diamond ni Papaa Misifa 50%,Bob Junior 20%,Sallam 20% hiyo kumi ndio ya waliobakia.
 
Kila mtu ana pande mbili za wasifu. Nzuri na mbaya. Ruge alikuwa na kipaji kikubwa na jitihada nzuri, kwa upande wa pili Ruge alikuwa Malaya na dhulumati wa hali ya juu.
 
Umalaya ni yeye na mke wake. Umalaya hauwezi kufanyika kama mtu hana kiapo na mtu mwingine, au familia, au kanisa, kwamba hatakuwa malaya.Na kwa ninavyoelewa, amefariki hajaoa. Sijasikia malalamiko kutoka kanisani kwake wala kwa familia yake kwamba Ruge ni malaya.

Hata hao watu walioishi karibu naye nawasikia wanamsema kwa uzuri tu.

Kwa hivyo hilo la umalaya sijajiwekea haki ya kulitaja.

Udhulumati inabidi ujenge hoja yako zaidi.

Kamfanyia nani? Kwa msingi gani? Umehakiki vipi hilo? Kivipi ni maneno ya mkosaji anayejikosha tu na kivipi ni ukweli?
 
Back
Top Bottom