(Kumbukizi) Sugu: Tunawang'oa watu kucha kwa koleo kwakuwa na misimamo tofauti

(Kumbukizi) Sugu: Tunawang'oa watu kucha kwa koleo kwakuwa na misimamo tofauti

DuaZaMama

JF-Expert Member
Joined
Jun 2, 2025
Posts
1,882
Reaction score
4,153
Aliyekuwa Mbunge wa Mbeya Mjini, Joseph Mbilinyi maarufu kama Sugu, alipokuwa akizungumzia sakata la kutekwa kwa Dk. Olimboka, alisema kuwa tukio hilo ni mwendelezo wa kile alichokitaja kuwa ni utamaduni wa CCM na serikali wa kuwateka watu, kuwashambulia kwa mapanga, na kuwany’oa kucha kwa koleo kutokana na tofauti za mitazamo ya kisiasa. Alisema hayo tarehe 2 Julai 2012 alipokuwa akizungumza Bunge jijini Dodoma.
 
Miaka 14 mbele na kweli umegeuka utamaduni rasmi.

Na yoyote anayekemea utekaji anaonekana ni hatari kuliko watekaji wenyewe.
 
Back
Top Bottom