Kumbukizi: Tupac na Yaki Kadafi enzi za utoto wao

Kumbukizi: Tupac na Yaki Kadafi enzi za utoto wao

Kila tarehe 9 october ni siku ya kuzaliwa ya Rapper Yafeu Akiyele Fula A.K.A Yaki Kadafi. Mama yake Diamond huwa anasema kwamba kipindi Rommy Jones akiwa mdogo ilifikia hatua hata kumpa nyonyo japo hakua mwanae ila alikuwa na urafiki na mama yake Rommy.

Hivyo hivyo kwa huyu bwana mdogo Yaki Kadafi, familia yake na ya Tupac walikua marafiki na wote walikuwa wanachama cha Black Panther Party. kwaiyo muda mwingi aliutumia akiwa na kaka yake wa kufikia Tupac, Tupac alimizdi miaka 5/6.

Kwaiyo walikua pamoja kama kaka na mdogo kama vile Rommy Jones na Diamond wamekuwa. Umeona anajiita Yaki Kadafi and it sound like Gadaffi. Yes it is.

Kundi la Outlawz lililoundwa na Tupac, walikua wanatumia A.K.A za Madikteta mbalimbali;
  • Hussein Fatal - Jina la Sadam Hussein
  • E.D.I Mean - Jina la Idd Amin dada
  • Kastro - Fidel Castro
  • Mussolini - Benitto mussolini
  • Napoleon - Napoleon Bonaparte
Except 2Pac pekee ndio alijipa jina la mwanafalsafa kutoka Italia, Nicolo Machiaveli and 2Pac Remains as Phylosophical rapper ever lived.

Bahati mbaya wote wawili waliuawa kwa risasi ndani ya mwaka mmoja.
View attachment 2386245
its a dog eat dog world!
 
We unamjua Dre yupi?
Huyu aliyezeeka na kutajirika?
Unajua chanzo cha Ice Cube kuandika ile
" JamiiForums' Community Engagement Guidelines | Mwongozo wa Ushiriki kwenye Mijadala police" ?
Dre hajawahi kuwa gangsta. Niambie yuko/alikuwa affiliated na gang ipi? Ice Cube na Suge Knight pia hawajahi kuwa gangstas. Watu kujitapa kwenye nyimbo kwamba ni gangstas haimaanishi ni gangstas kweli. Eazy E, Snoop, DJ Quick, MC Eiht, Daz na Nipsey Hustle ni baadhi ya real gangstas na mpaka sets zao zinajulikana. Achana na hao studio gangstas.
 
Sio lazima uwe affiliated na gang flan ili uwe Gangsta....
Kwamba ili Uwe Gangsta basi lazima uwe from Crip au Blood au pirus.....
Ugangsta unaozungumzwa hapa ni ule utata, na Hii ilikuja baada ya mtu kumuita Pac alikuwa mtata. ( Ni wabongo wachache wanaelewa mambo ya Bloods and crips na magang mengine)
Hauko affiliated na gang flani ila kila siku unakamatwa kwenye assaults tukuitaje mkuu? Petty Thug?
 
Zaidi ya nusu ya member wa outlaws wote wamekufa , amebaki Castro na Napolean tuu, na Napolean converted to islam amekuwa muhubiri/ motivational speaker na ameacha muziki kabisa, gun violence ni mbaya sana in US
Kwanini late 60 to 90 kulikua na wimbi kubwa la Black people kubadiri kua waislam??
 
Mashairi ya 2pac yalishiba uhalisia , the guy was genius , mtu ambaye hakufikisha hata 30 years , anaongelewa kwa zaidi ya miaka 30 baada ya kifo chake
Shed so many tears is one of my favourite, but the good die young is up there in my playlist
Kwamimi enthusiast wa masuala ya kiroho na kiimani naamini Kwamba Mungu ndio aliruhusu Tupac azaliwe na ndio aliruhusu Tupac afariki akiwa mdogo coz kusudi alilotakiwa kulitimiza alilitimiza. So muda wa 24yrs alioishi ulikua sahihi kabisa, maybe angeendelea kuishi angeharibu.

Kweli jamaa alikua ana nyota ya kupendwa maana namkubali sana kama navyomkubali Nyerere na JPM.
I can even take a bullet for him, if I could turn back the hand of time to 1996
 
Only God can judge me ni wimbo wangu bora wa muda wote hasa ile verse ya pili
I hear the doctor standin' over me, screamin' I can make it
Got a body full of bullet holes, layin' here naked
Still I can't breathe, something's evil in my IV
'Cause everytime I breathe I think they killin' me
I'm havin' nightmares, homicidal fantasies
I wake up stranglin', tangled in my bed sheets
I call the nurse 'cause it hurts to reminisce
How did it come to this? I wish they didn't miss
Somebody help me, tell me where to go from here
'Cause even thugs cry, but do the Lord care?
Try to remember, but it hurts
I'm walkin' through the cemetery, talkin' to the dirt
I'd rather die like a man than live like a coward
There's a ghetto up in Heaven and it's ours
"Black Power!" is what we scream
As we dream in a paranoid state
And our fate is a lifetime of hate
Dear Mama, can you save me? And https://jamii.app/JFUserGuide peace
'Cause the streets got our babies, we gotta eat
No more hesitation, each and every black male's trapped
And they wonder why we suicidal running 'round strapped
Mr. Police, please try to see
That there's a million motherfuckers stressin' just like me

FB_IMG_16624482390250773.jpg
 
Kwamimi enthusiast wa masuala ya kiroho na kiimani naamini Kwamba Mungu ndio aliruhusu Tupac azaliwe na ndio aliruhusu Tupac afariki akiwa mdogo coz kusudi alilotakiwa kulitimiza alilitimiza. So muda wa 24yrs alioishi ulikua sahihi kabisa, maybe angeendelea kuishi angeharibu.

Kweli jamaa alikua ana nyota ya kupendwa maana namkubali sana kama navyomkubali Nyerere na JPM.
I can even take a bullet for him, if I could turn back the hand of time to 1996

I'd rather die like a man,than live like a Coward There's a gheto up in Heaven and its ours,Black power Is what we scream as we dream in a paranoid state And our fate,is a life time i hate Dear Mama can you save me? and https://jamii.app/JFUserGuide peace R.I.P Legend Hakuna Rapa atakuja tokea kama wewe.
 
Kwanini late 60 to 90 kulikua na wimbi kubwa la Black people kubadiri kua waislam??
Sina uhakika lakini nafikiri ni racism, kuna racism nyingi sana kwenye christianity kama hawa conservatives na Evangelical AKA christian talebans wanajulikana kuwa extremist, watu weusi walibaguliwa sana na hata walikuwa hawaendi makanisani kwa wazungu wakaanzisha ya kwao, baada ya kugundua uislam nafikiri na waislam waliwapokea vizuri na sio dini ya wazungu naona walivutiwa nayo
 
Sio lazima uwe affiliated na gang flan ili uwe Gangsta....
Kwamba ili Uwe Gangsta basi lazima uwe from Crip au Blood au pirus.....
Ugangsta unaozungumzwa hapa ni ule utata, na Hii ilikuja baada ya mtu kumuita Pac alikuwa mtata. ( Ni wabongo wachache wanaelewa mambo ya Bloods and crips na magang mengine)
Hauko affiliated na gang flani ila kila siku unakamatwa kwenye assaults tukuitaje mkuu? Petty Thug?
Ingawa tafsiri yako ya neno gangsta sio sahihi, let's play your tune. Niambie Dre au Cube wana sifa zipi za kuwa gangstas according to your translation?
 
Ingawa tafsiri yako ya neno gangsta sio sahihi, let's play your tune. Niambie Dre au Cube wana sifa zipi za kuwa gangstas according to your translation?
Najua tafsiri ya gangsta, na ipo Clear kabisa.
Nimekuuliza Mtu ambaye anakuwa involved na matukio ya kihalifu ( anakamatwa karibu kila weekend ) tumuitaje?
Kuna documentary Moja ya Hiphop Ice anaulizwa kwanini aliamua Kuandika F...ck police, anakuambia ilitokanana na Dre kuwa anakamatwa karibu kila weekend ndio akapata hilo wazo.
If Dre angekuwa studio gangsta kama unavyosema why kila siku awe kwenye matatizo na Police...?

Anaweza kuwa msafi ukimfananisha na Eaz ambaye ameuza Marijuana ila hakuwa kijana wa kawaida.
 
Back
Top Bottom