Kumbukizi: Tutupie picha zilizosisimua uchaguzi 2015, haitatokea tena

2019

JF-Expert Member
Joined
Dec 31, 2018
Posts
3,130
Reaction score
4,735
Nikisema nilikua mpizani kindaki ndaki watu mnaona masihara.

Kwanzia leo nitakuwa natupia picha mpaka kampeni ziishe

Hakuna sehem kulikua na mkutano maandamano nikaacha kwenda kwa hapa Dar. Ila Lowassa alituangusha sana mana tulikua tayari kwa lolote.



Picha zote zilipigwa tarehe kama ya leo(📷 Google photos)

Kama una picha za chama chochote tupia tujikumbushe
 
Usitupie mkuu wataziupload kwamba niza mwaka huu
 
Hakika ulikuwa uchaguzi mkuu ulokuwa wa ushindani usio kawaida tangu Uhuru kupatikana .

Hiyo ilidhihirishwa kupitia matokeo ya kura walizopata na % ya ushindi!
 
Hakika ulikuwa uchaguzi mkuu ulokuwa wa ushindani usio kawaida tangu Uhuru kupatikana .

Hiyo ilidhihirishwa kupitia matokeo ya kura walizopata na % ya ushindi!
Haitatokea kama ya Lowasa, yule mzee sijamuelewaga mpaka kesho!
 


Hii ilikua Mwanza,wanabadiliko wakadai zimetengenezwa... Kesho naleta zingine sichagui chama
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…