KUMBUKIZI: Usaliti na Uongo huwa unaumbua sana. Ester Bulaya akikana maneno yake mwenyewe

KUMBUKIZI: Usaliti na Uongo huwa unaumbua sana. Ester Bulaya akikana maneno yake mwenyewe

Malaya wa kisiasa,
Ningewashauri hawa COVID-19,hizo pesa zao za pensheni waanzishe biashara kuliko kuziharibu kwa wajumbe,labda kama wametumwa na mama samia waje wagombee atawabeba,swali ni kwamba samia atawabeba wangapi?
 
Anaonekana kabisa yupo kwenye gridi ya taifa huyu.
---
Why? , Unaushahidi?, Mi napita tu, Sina neno.
 
Si hata Msigwa alijikana mwenyewe wakati hapo awali alifikia kuweka rehani mali zake ziuzwe kama atahamia CCM ?

Siasa za Tanzania zimejaa utapeli tupu dhidi ya wajinga wengi na watu wasiotumia ubongo kufikiri, kwani mkoloni aliposema waafrika akili ziko kwenye ngoma na ngono .... Alikosea? 🤔
 
Ni tu yupo flexible,yaani ananyumbulika.Ccm wakitaka kumpoteza tena wamnyime fursa wakione.Na safari hii ni act.
 
Back
Top Bottom