Kumbukizi: Usipotumia dola kubaki madarakani siku ukitoka hautorudi Madarakani-Dkt. Bashiru Ally

Herbalist Dr MziziMkavu

Platinum Member
Joined
Feb 3, 2009
Posts
43,112
Reaction score
34,951
Kumbukizi: Usipotumia dola kubaki madarakani siku ukitoka hutorudi.
Dkt. Bashiru Ally akiwa Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi CCM alisema kama chama chochote kinachoongoza Serikali kitashindwa kutumia dola kubaki madarakani, itakuwa ni uzembe wake wenyewe.

Aliyasema hayo katika mahojiano na Vyombo vya Habari vya Kampuni ya IPP, Machi 6, 2020 alipotembelea studio za kampuni hiyo Jijini Dar es Salaam.

Kumbukizi: Usipotumia dola kubaki madarakani siku ukitoka hutorudi..
Dkt. Bashiru Ally akiwa Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi CCM alisema kama chama chochote kinachoongoza Serikali kitashindwa kutumia dola kubaki madarakani, itakuwa ni uzembe wake wenyewe.
Aliyasema hayo katika mahojiano na Vyombo vya Habari vya Kampuni ya IPP, Machi 6, 2020 alipotembelea studio za kampuni hiyo Jijini Dar es Salaam.
Source: JamiiAfrika

View attachment 3693987
Mhadhiri wa Political Science, Dr. Bashiru Ali. Zilongwa mbali ....zitendwa mbali.
 
Bashiru yupi huyo tena?Au ni yule CUF ngangari tangu milele yote aliyehamia CCM kwa mkopo dirisha dogo la usajili wa ghafla?
 
Back
Top Bottom