Hawa wabunge hawanaga kikokotoo? Maana sisikii wakilalamikiaMshahara huko mjengoni umepaa ghafla from 13m to 18! Probably na posho na kiinua mgongo cha baada ya "kazi" ya miaka 5 vitapanda. Let's wait and see asemacho Dr. Bashiru.
bashiru utakufa kifo kibaya. maovu yote ya maguduli uliyakumbatia as long as unapata mlo wako na waliokuzunguka.Mei 29, 2018, Dkt. Bashiru Ally Kakurwa, aliteuliwa na CCM kuwa Katibu Mkuu cha chama hicho akichukua nafasi ya Abdulrahman Kinana ambaye aliomba kujiuzulu.
Baada ya uteuzi huo, Dkt. Bashiru alitoa kauli kuwa nafasi hiyo ni ya kwanza na ya mwisho kwake na hatakubali kuteuliwa katika nafasi yoyote baada ya uteuzi huo.
Februari 26, 2021, Hayati Rais Magufuli, alimteua Dkt. Bashiru kuwa Katibu Mkuu Kiongozi na siku hiyo hiyo aliteuliwa kuwa Balozi. Hata hivyo Machi 21, 2021 aliondolewa katika nafasi hiyo na kuteuliwa kuwa Mbunge.
Karibu nicheke π€ila nkakumbuka kuwa ndio kwanza sjaujaza ulimwengu nisitukane mamba...Usimuamini mtu mwenye kichwa kilichokaa kama rungu
Mshahara huko mjengoni umepaa ghafla from 13m to 18! Probably na posho na kiinua mgongo cha baada ya "kazi" ya miaka 5 vitapanda. Let's wait and see asemacho Dr. Bashiru.
Wabunge hakiwahusu kikotooHawa wabunge hawanaga kikokotoo? Maana sisikii wakilalamikia