The Khoisan
JF-Expert Member
- Jun 5, 2007
- 16,434
- 14,547
Hapo tunajifunza kwamba; njaa haina baunsa. Wewe hujaona hata Chongolo amekubali kuwa Mkuu wa Mkoa! Kutoka kuwa Katibu Mkuu wa chama!
Wahuni tu..... Tanzania hii tumeona mawaziri Wakuu wanaenda kuwa Wabunge wa kawaida tena hapa unazungumzia akina Msuya, Macecela, na Lowasa... Sasa ije iwe kwa hawa mabwanawadogo. Alikuwa anatingisha kiberiti tu au madaraka yalipanda kichwani kama akina Badhite.