Kumbukizi ya Dkt. Bashiru: "Sitagombea wala kukubali uteuzi wowote baada ya huu". Kilichofuata baada ya hapo ilikuwaje?

Hapo tunajifunza kwamba; njaa haina baunsa. Wewe hujaona hata Chongolo amekubali kuwa Mkuu wa Mkoa! Kutoka kuwa Katibu Mkuu wa chama!

Wahuni tu..... Tanzania hii tumeona mawaziri Wakuu wanaenda kuwa Wabunge wa kawaida tena hapa unazungumzia akina Msuya, Macecela, na Lowasa... Sasa ije iwe kwa hawa mabwanawadogo. Alikuwa anatingisha kiberiti tu au madaraka yalipanda kichwani kama akina Badhite.
 
Aliweka historia kuwa Katibu mkuu kiongozi alieongoza Kwa muda mfupi zaidi afrika
 
Mfumo mbovu tuliona nao
 
Baada ya Lissu kupigwa risasi,akasema Lissu anaugua ugonjwa wa "Deko"
eti anadeka!
Huyo mbwa sitakaa nimsahau
 
Angekataa ubunge wa kuteuliwa angeishi maisha magumu sana hapa duniani .
Sawa sawa..na angeonekana ni tatizo..wangemshughulikia..

Hii nchi kuna watu wanafanya kazi ila nyuma ya hiyo kazi kuna watu wa kazi waliompa kazi
 
Baba Askofu miuno feni aliwahi kusema pia yeye ni mkubwa kuliko cheo cha uraisi, haitaji hivi vyeo.....dah "nireteeeni gwajima, nireteeeni gwaaajimaaa nireteeeeniiii ggwaaaajiiiimaaaaa"
 
Sijawahi kuona mwanasiasa mkweli bongo...hili la bashiru ni kauongo kadoogo sana!
Umesahau mtu amekufa kiongozi anadanganya nchi nzima kuwa prezdaa yuposawa na anachapa kazi!!
Mitaani tunadanganywa Hadi na manabii....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…