Kumbukizi ya Hayati Magufuli kuhusu umeme

Kumbukizi ya Hayati Magufuli kuhusu umeme

Moja ya kitu nilikua nakikubali kwa huyu mwamba ni ujasiri, ubabe na udiktekta wake, alichosema humo ndio kinatokea sasa hivi yule bibi na vijana wake wanakuja na visababu vya kitoto kwenye jambo la msingi kama umeme, Tanzania tunahitaji kupata kiongozi mwingine kama huyu mwamba lakini awe muaminifu zaidi ili tutoke huku shimoni
 
Back
Top Bottom