Kumbukizi ya Nyerere: Familia ya Mwalimu Nyerere yawataka wasanii kuacha kutumia jina la Baba wa Taifa kama ubin wao

Nyerere ni fahari ya watanzania, wananchi wengi wanamkubali, hiyo familia yake iache jina lake litumike kwa kila raia mwenye nia njema kulitumia jina hilo
 
Nimependa tu Madaraka alivyowasilisha ujumbe. Kitalam sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…