King Kong III
JF-Expert Member
- Oct 15, 2010
- 56,205
- 79,515
Lucky Philip Dube (3 Agosti, 1964 - 18 Oktoba, 2007) alikuwa mwanamuziki wa reggae kutoka Afrika Kusini. Alirekodi albamu 22 katika lugha ya Kizulu, Kiingereza na Kiafrikaans katika kipindi cha miaka 25-na alikuwa mwanamuziki wa Reggae kutoka Afrika Kusini ambaye aliuza albamu nyingi Lucky Dube aliuawa katika kitongoji cha Rosettenville mjini Johannesburg jioni ya tarehe 18 Oktoba 2007, muda mfupi baada kuwapeleka watoto wake wawili kati ya wote saba kando ya nyumba ya mjomba wao,Aliacha mjane Zanele na watoto wake saba.
Wauaji walikua wanataka kupora gari lake la aina ya Chrysler 300C


Wauaji walikua wanataka kupora gari lake la aina ya Chrysler 300C

