nteze john alikuwa anaambaa na mpira mashariki ya uwanja pale... na jobe ayubu "kwasakwasa"akalala yombo na kuutoa nje mpira ule....inakuwa kona pale msikilizajiMaguu 12 ya mtu mzima
Mimi mwenyewe ndio nimejua leo!!!Du, nilikua sijui kama ezekiel malongo alishafariki. Alikua ananifurahisha sana. . RIP
Ndio aliekukuna mkuu?Kitenge hamna kitu.
Huyu Ezekiel Malongo alinitangazia World cup 2002 kipindi kile mashindano yamefanyika Japan na Korea kusini gemu zinachezwa saa NNE asubuhi,Baraka Mpenja anakuja vizuri, akikazana huyu bwana mdogo atakuwa poa sana.