maiyanga1
JF-Expert Member
- Mar 1, 2017
- 1,340
- 1,832
Akitangaza pombe ni nambari 1.Kibonde murua kwenye ngumi bwana siyo mpira wa Miguu!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Akitangaza pombe ni nambari 1.Kibonde murua kwenye ngumi bwana siyo mpira wa Miguu!
Jibu nani alikuwa anaukosha moyo wako.sio kusema furani hakuna.watanzania ni wagumu sn kuelewa.Kitenge hamna kitu.
Sued Mwinyi, Ahamed Jongo, Jese John.Jibu nani alikuwa anaukosha moyo wako.sio kusema furani hakuna.watanzania ni wagumu sn kuelewa.
We jua ktk waliopo kitenge hayupo, mbona mgumu sana na wewe kuelewa??Jibu nani alikuwa anaukosha moyo wako.sio kusema furani hakuna.watanzania ni wagumu sn kuelewa.
1990??Wafungaji waliitwa KLM kwa ufupi,kocha wa Yanga alikuwa marehemu Syllarsaid Mziray r.i.p