Kumbukumbu murua: Tujikumbushe watangazaji mahiri wa mpira nchini

Kumbukumbu murua: Tujikumbushe watangazaji mahiri wa mpira nchini

Jibu nani alikuwa anaukosha moyo wako.sio kusema furani hakuna.watanzania ni wagumu sn kuelewa.
Sued Mwinyi, Ahamed Jongo, Jese John.
====
Aliyekuwa anamudu dakika tisini bila msaada tena kwa kasi ile ile ni "Mbunge wa Singida"! Ila simba iwe inaongoza.
 
Jakobo Tesha eti nae alikuwepo [emoji30]
 
Baraka mpenja Hassan mvula Hashim Ibwe Ramadhan Ngoda na Paschal Kabombe
 
Back
Top Bottom