Kumbukumbu murua: Tujikumbushe watangazaji mahiri wa mpira nchini

Kuna mtu alikuwa anaitwa Domick Chilambo. Naye alikuwa mtangazaji mzuri sana wa mpira na matukio mengine
 
Daah enzi hizo hatari..Baba la baba charlez hillary namuelewa
 
Aloo kumbe sport lady Halima mchuka alishasogea kwa Mola,RIP sport lady.
 

Abdul Masoud(RIP), Juma Ngondae ....
 
Rajabu Rashid anakamata mpira ndani penati box,sijajua ni kwanini!,refa anasema ile ni penati,maguu 12 ya mtu mzima,na mpigaji wa ile ni Hamis Gaga (Gagarino)...na anapiga palee,anakosa penati ilee Gagarino,anapiga mkwaju mkali sana na unagonga mtambaa panya na kurudi katikato ya kiwanja...daah long time..hii mechi Yebo walitufunga 3-1,wafungaji ni Makumbi,Kipese, la siba ni Chumila,...marehemu Double R alishika mpira kwa kuzani refa amepuliza filimbi kumbe siyo...pale katikati kulikuwa na fulu udambwidambwi...Leny/Gagarino/RR/Isa Athumani/China...mechi ambayo Kipese alimtesa sana babu Raphael Poul (LP)...
 
Wafungaji waliitwa KLM kwa ufupi,kocha wa Yanga alikuwa marehemu Syllarsaid Mziray r.i.p
 
Charles Hilary na Ahmed Jongo ilikuwa ni shida wakitangaza pamoja
 
Daaah ndio kwanza nasikia leo kama Ezekiel Malongo amefariki
 
Ezekiel Malongo alikua mtangazaji bora wa karne hapa Tanzania. Sijui nini kilimkuta huyu jamaa.. Shetani alaaniwe!
 
Halima Mchuka alisha fariki? Duuuu, rest in peace mama etu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…