Dkt. Gwajima D
Minister
- Nov 28, 2015
- 1,710
- 8,690
Sisi tunywe bia tu , mama anaubonda mwingi aseee🤔Hongera sana, wewe ni moja ya mawaziri bora kabisa wa wamu hii.
Mama hana baya aiseeSisi tunywe bia tu , mama anaubonda mwingi aseee🤔
Mno bwasheeMama hana baya aisee
Raha tujipe wenyeweSisi tunywe bia tu , mama anaubonda mwingi aseee🤔
Kutekwa ni kupenda kwako tu 🤣Raha tujipe wenyewe
🤣 Mangi, hebu tusichafue uzi wa Mh. Waziri.Kutekwa ni kupenda kwako tu 🤣
Mama ni role model kwa wanawake wengi.Mangi, hebu tusichafue uzi wa Mh. Waziri.
Mimi huyu mama nampenda buana!
Basi sawa , mheshimiwa namkubali pia😊 sema ma mabarmed wanatunyanyasa mno chenji hawarudishi😪Mangi, hebu tusichafue uzi wa Mh. Waziri.
Mimi huyu mama nampenda buana!