Kumbukumbu na shukrani kwa ushirikiano

Next time labda utakuwa wewe au mmoja wenu humuπŸ€—

Ila huo ni utafiti wa kimataifa kama mnavyozikubali tafiti zingine zote, na huo muukubali tu.
 
Hongera sana Mheshimiwa.
My Congratulations to Mheshimiwa Rais, I wish Her Afya Njema na Mafanikio.
Mamndenyi, hizo congratulations zako badala ya kumpa Dr Gwaji unazipeperushia Kizimkazi... Au Ndiyo tecnologia (in Italian accent)
 
Waziri bora wa taifa....
 
Kwanza hongera sana.pili pia nikupongeze kwa kuwa mvumilivu kuna kipindi kule x ulioigwa sana spana lakini ulionesha ukomavu.
πŸ˜€spana kama spana. Ndani ya moyo wa mtu ndiyo kuna spana za kumuangamiza. Hizi za walimwengu ambazo, watu wanakutana kwa kusudi lao juu yako, na wanaambukiza wengine hata kuuliza ukweli hawataki, halafu wanatafuta upande hasi tu kuhusu wewe, upande chanya wanafukia, mimi nazionaga kama burdani ya wakati tu, na wakati ukishapita, yote hudhihirika uhalisia.

Tuendelee kumshukuru Mwenyezi Mungu, mfalme wa nyakati.
 
Next time labda utakuwa wewe au mmoja wenu humuπŸ€—

Ila huo ni utafiti wa kimataifa kama mnavyozikubali tafiti zingine zote, na huo muukubali tu.
Ahaa πŸ€—πŸ€— I believe in professionalism , but number do lie mainly in Africa .

Sisi tumeona jinsi umekuwa front , kujitoa , kujituma n.k

Ndo maana katika wizara zilizofanya vizuri na ya kwako IPO .

Ila you have to accept constructive criticism.

Ukiwa uwanjani ni ngumu kuona makosa yako .

So sometimes you have to leave from the pitch and see who is this guy.
 
Watanzania tunakupenda wewe hata upinzani upate viti vyote tutahakikisha tunachomelea chako cha ziada tuzidi kukuona unanawili
You are the real definition of women power

Usipite bila Like mh Waziri
 
Kwa mara ya kwanza leo nimesoma komenti zote na zote zinampongeza waziri kwa kazi nzuri .Kumbe Watanzania wanajua nani anachapa kazi na nani mbabaishaji( kazi yako itakubeba).Na mimi ni nani niende tofauti na wanajamvi?!.Hongera kwa kazi nzuri Mama.
Tatizo wana jamvi huyu ndiye Malkia wetu. Lakini 'wahuni' wanamkubali'
 
Hicho ndiyo nilichofanikiwa, pokeeni hicho hicho hakuna kingine, wengine watafanya zaidi, ujenzi wa Taifa unaendelea jamaniπŸ€—
 
Hilo ndiyo muhimu kabisa kwa bibi mzee kabisa, marahabaaa πŸ€—, mtu mwadilifu wewe
Bado unanguvu za kulitumikia taifa na Mungu sio bibi mzee bwana 😁, soon tutakutana tupate selfii (nimesahau inaandikwaje hapo) ya upendo.
Nakuombea mema na miaka mingi yenye heri.
 
Nawe ni miongoni mwa wale wachache ambao walikua na misimu Bora kwenye idara zao walizokua wakihudumu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…