kumbukumbu namba ya barua rasmi

kumbukumbu namba ya barua rasmi

Prosper Fidelis

New Member
Joined
Feb 6, 2021
Posts
3
Reaction score
1
jamani walimu humu ndani naombeni mnieleweshe, unapoandika kumbukumbu namba, katika barua rasmi, kumbukumbu namba hiyo inahusiha mambo gani?
 
Kama unaandika ww binafsi kwenda kwenye taasisi no need ya kuandika kumbukumbu namba coz kama taasisi ikijibu barua yako itatumia tarehe uliyoandika kwenye barua yako kama reference (kumbukumbu no.) so usiumize kivhwa kuandika kumbukumbu just make sure Barua yako inatarehe kama miongozo ya kuandika barua inavyosema.

#nimekujibu kwa experience
 
jamani walimu humu ndani naombeni mnieleweshe, unapoandika kumbukumbu namba, katika barua rasmi, kumbukumbu namba hiyo inahusiha mambo gani?
Inasaidie......kumpa taarifa ...msomaji wa barua yakoo....ajue kama umewahi tuma barua hapo mwanzoo....
Kwa ufupi....
....kumbu kumbu namba inamsaidia msomaji wakoo kurejerea barua yako ya awalii.....
 
Inasaidie......kumpa taarifa ...msomaji wa barua yakoo....ajue kama umewahi tuma barua hapo mwanzoo....
Kwa ufupi....
....kumbu kumbu namba inamsaidia msomaji wakoo kurejerea barua yako ya awalii.....
mambo gani ya kuzingatia sasa? kwenye upangaji wa hizo namba
 
Back
Top Bottom