Kumbukumbu: Restituta Bukori

Kumbukumbu: Restituta Bukori

Jerry santonga

JF-Expert Member
Joined
Oct 12, 2014
Posts
645
Reaction score
562
Habari ndugu zangu..
Katika miaka ya 2000 ndio nilianza kumsikia huyu dada machachari repota wa redio one.

Aisee kumbe alifariki kuna mdau mmoja ndio ameniambia
Nilidhani aliacha hii tasnia
 
Kumbeeee,,,dah

Mi nilikua namsikia radio Tanzania kipindi cha majira km sikosei enzi hizo baba hakosi
 
Alimfuatilia tajiri mmoja alikuwa na packing yake badala ya kupaki stendi kama Mkoa ulivyojiwekekea taratibu. Akaanguka ghafla kati ya chooni/bafuni ukawa ndio mwisho wake. Kama kawaida waswahili wakaunganisha kifo na ugomvi na bwana tajiri. Naweza kukosolewa imekuwa muda ss kama miaka 9 hivi.
 
Sina hakika na ugomvi, ila iliripotiwa kuwa alianguka bafuni.
 
Habari ndugu zangu..
Katika miaka ya 2000 ndio nilianza kumsikia huyu dada machachari repota wa redio one.

Aisee kumbe alifariki kuna mdau mmoja ndio ameniambia
Nilidhani aliacha hii tasnia
oooh RIP Restituta. Alifariki miaka kadhaa iliyopita hata Rais Mstaafu Jakaya Kikwete alihudhuria aliku mtangazaji mahiri na machahcari kama ulivyosema.
 
Aisee nina sauti zake kwenye tape zilipendwa alikuwa na kisauti flani hivi cha umaarufu
 
Alimfuatilia tajiri mmoja alikuwa na packing yake badala ya kupaki stendi kama Mkoa ulivyojiwekekea taratibu. Akaanguka ghafla kati ya chooni/bafuni ukawa ndio mwisho wake. Kama kawaida waswahili wakaunganisha kifo na ugomvi na bwana tajiri. Naweza kukosolewa imekuwa muda ss kama miaka 9 hivi.

Aisee muda uko mbio
Miaka 9 tayari aisee
 
Huyo nakumbuka alifariki kitambo hata rais wetu mstaafu JK alienda kuhani msibani
 
Back
Top Bottom