Jerry santonga
JF-Expert Member
- Oct 12, 2014
- 645
- 562
Kiswahili gani hiki?Alishafarikigi
Alimfuatilia tajiri mmoja alikuwa na packing yake badala ya kupaki stendi kama Mkoa ulivyojiwekekea taratibu. Akaanguka ghafla kati ya chooni/bafuni ukawa ndio mwisho wake. Kama kawaida waswahili wakaunganisha kifo na ugomvi na bwana tajiri. Naweza kukosolewa imekuwa muda ss kama miaka 9 hivi.
Duuuuuuuuuuh
Alikuwa anatangaza dw au bbc km sijakosea
Kila la kher huko akhela
oooh RIP Restituta. Alifariki miaka kadhaa iliyopita hata Rais Mstaafu Jakaya Kikwete alihudhuria aliku mtangazaji mahiri na machahcari kama ulivyosema.Habari ndugu zangu..
Katika miaka ya 2000 ndio nilianza kumsikia huyu dada machachari repota wa redio one.
Aisee kumbe alifariki kuna mdau mmoja ndio ameniambia
Nilidhani aliacha hii tasnia
Aisee nina sauti zake kwenye tape zilipendwa alikuwa na kisauti flani hivi cha umaarufuoooh RIP Restituta. Alifariki miaka kadhaa iliyopita hata Rais Mstaafu Jakaya Kikwete alihudhuria aliku mtangazaji mahiri na machahcari kama ulivyosema.
Kweli kabisa jamani .Aisee nina sauti zake kwenye tape zilipendwa alikuwa na kisauti flani hivi cha umaarufu
Alimfuatilia tajiri mmoja alikuwa na packing yake badala ya kupaki stendi kama Mkoa ulivyojiwekekea taratibu. Akaanguka ghafla kati ya chooni/bafuni ukawa ndio mwisho wake. Kama kawaida waswahili wakaunganisha kifo na ugomvi na bwana tajiri. Naweza kukosolewa imekuwa muda ss kama miaka 9 hivi.
Cha AfghanistanKiswahili gani hiki?