jingalao
JF-Expert Member
- Oct 12, 2011
- 36,197
- 29,717
Katika siasa lazima uwe makini sana na matendo na mwenendo wa wanachama chako lakini pia uwe mwepesi kujisafisha na kuweka kumbukumbu sawa pale ambapo jambo lillilotokea lina uhalifu au sifa chafu ndani yake.
Yupo mtuhumiwa aliyehukumiwa hivi karibuni kwa kosa la kumkashifu Mh. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan ambaye alipewa adhabu ya kifungo jela au kulipa faini ya milioni 5.
Kilichojiri baada ya hukumu ni mwanachama wa CDM ameongoza tena kwa bashasha kukusanya fedha ya kumlipia faini mshtakiwa huyo aliyetiwa hatiani.
Hoja ya Kwanza:
CDM inasupport wahalifu wa mitandaoni.
Hoja ya Pili
CDM ina sera na mwenendo rasmi wa kuwakingia kifua wahalifu ...hapa tukirejea matukio kadhaa ya kusympathise na wahalifu mbalimbali waliowahi kukamatwa siku za nyuma.
Hoja ya tatu
Ukifuatilia clips za muhalifu huyu utagundua kuwa zipo baadhi ya clip zilizoashiria yupo kwenye mkakati wa kumtoa madarakani Mhe.Rais ikiwezekana kwa kumdhuru.
Hapa ndio msingi wa thread yangu unajikita ...je UONGOZI WA CDM UNAENDESHA MPANGO HARAMU WA KUMDHURU MHE.RAIS?
USHAURI SASA
Vyombo vya Usalama visikalie kimya suala hili ...ni vyema likafuatiliwa kwa kina ili kujua aliye nyuma ya huyu psycho ni nani?
CDM Itoe tamko rasmi la kulaani matendo ya muhalifu huyu na iachane na utaratibu wa kussuport wahalifu.
Wanaharakati wa haki za binadamu wakemee vikali uhalifu huu wa mtandaoni.
KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA!