Kumbukumbu : Uso kwa Uso na Simba.

haaaaaaahaaaaaaaaahaaaaaaaaaaa kama nakuona ulivyojikunyata
 
Mwenzako ata huyo simba nimemuonea kwenye maonesho!!! Alikua ndani ya uzio ila alipounguruma nilitimua mbio hizo... Usain Bolt haingii ndani.
Sasa ningekutana nae ana kwa ana nadhanu matobo yote kwenye mwili wangu yangekua kwenye work mode!!!
Mambo.
 
Kwa akili yako kengw hawezi kupanda juu ya dirisha?
 
Kwa akili yako kengw hawezi kupanda juu ya dirisha?
Ata sikufikiria hayo...
Alafu zamani tulikua tunakumbana na kenge bafuni kule juu karibia na bati!!! Kuna siku nilitoka bafu la nje uchi ndukiii mpaka chumbani kisa kenge. Hahaha
 
Natakabnijitoe jf kwa sababu yako.
Sababu unaijua sana.
Niishie hapo
'[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24] usijitoe jamani.. Ukitoka JF itakuafa'

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] unataka niseme hivo ama? Jitoe tu!!!
 
'[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24] usijitoe jamani.. Ukitoka JF itakuafa'

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] unataka niseme hivo ama? Jitoe tu!!!
Poa.
Nijitoe nisisjitoe haina effect yoyote hapa Jf.
Nilitaka kujua kuwa una roho mbaya au huna?
Dawa yako kenge. Mimi mm nitakupa kenge wangu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…