Kumbukumbu: Vladimir Putin alivyokutana na Kim Jong UN

Kumbukumbu: Vladimir Putin alivyokutana na Kim Jong UN

Je, Kim Jong Un atasimama upande wa Putin? Unaonekana kuna uswahiba kati yao.

Video ikirejea Siku ambayo Rais wa Urusi Vladimir Putin alivyokutana na Rais wa Korea kusini Kim Jong Un.

 
Je, Kim Jong Un atasimama upande wa Putin? Unaonekana kuna uswahiba kati yao.

Video ikirejea Siku ambayo Rais wa Urusi Vladimir Putin alivyokutana na Rais wa Korea kusini Kim Jong Un.

Sie wa bongo tulibaki kua mashabiki wa kila jambo hata vita tunakua na upande vya kwetu vimesha tushinda kila jambo tuko nyuma.
 
Sie wa bongo tulibaki kua mashabiki wa kila jambo hata vita tunakua na upande vya kwetu vimesha tushinda kila jambo tuko nyuma.

What are you supposed to do when all your compatriots are way, way ahead of you? 🙂
 
Nikifiria kua Putin na Kim huwa wanakunya na kupiga nyeto kama mimi, huwa nawaona wa kawaida tu.
Yaweza kuwa ni wa kawaida lakini si kweli kwamba wapo kama wewe!!! Kila mtu yupo tofauti sana! Tupo unique! Hata kama wanakunya kama wewe lakini kuna tofauti kubwa kati yako na yake, ndiyo maana yeye ni Rais wa Urusi na pengine wewe ni kibaka au mpiga punyeto wa Tanzania! Yawezekana anawaza vita wakati wewe unawaza matako ya mwanamke fulani (si unajua matanzania tunavyopenda ngono!!) Kwa kifupi wewe siyo yeye na hamtakaa mfanane! Kama alama za vistari kwenye viganja vya mama yako aliyekuzaa ni tofauti na vya kwako unadhani utafanana na Putin? Tafadhali kula maharage, kojoa ulale!
 
Hanaga upande huyo, mambo yake hua anajiachiaga mwenyewe...
 
Hii comment imenichekesha na kunikumbusha uzi huu. Jamaa anasema North Korea inaweza kuikunja Ulaya kwa mkono moja!!!!
====

whem12maisbzy2
neil111, It is not over yet, if you want to kill a sneak you have to smash it head, you can't just wand it and let it go, it can still coming back. NATO is like a big sneak which the head is the US, if you just cut the tail of the sneak you won't kill it. You have to go to the head and cut it off, then the rest of the bad will dies. Th US is the only thing that hold the EU together because they are a bunch of little nation who can't defend themselves, so, things works in both way, the US provide cover for them while they going around making trouble pretending they are something to be recognize with. But in fact they are just nothing. North Korea alone could wipe them all out.
13 hr

1 reply
 
Back
Top Bottom