Vishu Mtata
JF-Expert Member
- Dec 15, 2019
- 15,954
- 35,415
Elisha Elisha Elisha kijana wa kirusi mchanganyiko na kikorea kwa mbaaali.Yaweza kuwa ni wa kawaida lakini si kweli kwamba wapo kama wewe!!! Kila mtu yupo tofauti sana! Tupo unique! Hata kama wanakunya kama wewe lakini kuna tofauti kubwa kati yako na yake, ndiyo maana yeye ni Rais wa Urusi na pengine wewe ni kibaka au mpiga punyeto wa Tanzania! Yawezekana anawaza vita wakati wewe unawaza matako ya mwanamke fulani (si unajua matanzania tunavyopenda ngono!!) Kwa kifupi wewe siyo yeye na hamtakaa mfanane! Kama alama za vistari kwenye viganja vya mama yako aliyekuzaa ni tofauti na vya kwako unadhani utafanana na Putin? Tafadhali kula maharage, kojoa ulale!
Mimi nimemaanisha mfanano wa kimaumbile na vipo vitu ambavyo yeye anavyo na mimi ninavyo ama lah yeye hana na mimi ninavyo.
Usikute Putin au uyo pimbi Kim na ule ubonge wake na ufupi ule ana kibamia na nguvu za kiume hana, huoni nishamshinda kwenye sekta hiyo??
We unawaza miguvu na mavifaru tu au hujui kuna maisha mengine nje ya vita?? Na huenda hayo maisha mengine ndo huwa yanawatesa hao viumbe. We fikilia mtu hapigi mbunye ye bize na vita, hafurahi na watoto wake, mkewe hamfaidi ya ni kuwazia nchi yake tu.
Elisha kijana wa kirusi mchanganyiko na kikorea hao ndgu zako nimewapita pia furaha, naamini mimi nina furaha na amani zaidi yao mara 70.