Kumbukumbu: Vladimir Putin alivyokutana na Kim Jong UN

Elisha Elisha Elisha kijana wa kirusi mchanganyiko na kikorea kwa mbaaali.

Mimi nimemaanisha mfanano wa kimaumbile na vipo vitu ambavyo yeye anavyo na mimi ninavyo ama lah yeye hana na mimi ninavyo.
Usikute Putin au uyo pimbi Kim na ule ubonge wake na ufupi ule ana kibamia na nguvu za kiume hana, huoni nishamshinda kwenye sekta hiyo??

We unawaza miguvu na mavifaru tu au hujui kuna maisha mengine nje ya vita?? Na huenda hayo maisha mengine ndo huwa yanawatesa hao viumbe. We fikilia mtu hapigi mbunye ye bize na vita, hafurahi na watoto wake, mkewe hamfaidi ya ni kuwazia nchi yake tu.

Elisha kijana wa kirusi mchanganyiko na kikorea hao ndgu zako nimewapita pia furaha, naamini mimi nina furaha na amani zaidi yao mara 70.
 
USA lazima achapwe sana tu!! kutoka kuleeee mbali na kuja kutawala huku ni dharau!! yeye USA aende akatawale mataifa ya amerika ya kusini! huku atawale USSR!
 
🤣🤣🤣🤣🤣 anawaza atumie mkongo ili akomoe papuchi. Mwenzake anawaza atengeneze silaha gani nzito asambaratishe marekani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…