Kumbukumbu: Waliomvamia Mbowe kumpiga na kilichotokea Kiuhalisia

Hatari sana
 
Matukio ya Mkapa na Magufuli sio justification ya Mbowe.
 
Heri ya mchumia tumbo kuliko mchumia "matako!" Shibe ikisumbua matako yanapata tabu .
Dr.Remy aliimba "...usicheke cheke kwa vile leo umekula....!"
 
Lissu alipigwa mchana kweupe tena kwenye ulinzi mkali, leo mbona hakuna kitu chochote?
 
Eti ni heshima kwa Mungu kumzomea & kumtukana Lowassa
 
Lile lilikuwa genge la Chato na haki itapatikana tuu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…