Kumbukumbu: Waliomvamia Mbowe kumpiga na kilichotokea Kiuhalisia

Nimeipata from the horses' mouth,hakuna mtu dliyemshambulis Mbowe.
Ndiyo màana Mbowe aliambiwa aombe msamaha,au kama hawezi kuomba msamaha aseme tu" Wale walionishamblia,namwachia Mungu. I will not press charges."
 
Ubaya ni kuwa polisi wote ni walamba masaburi ya ccm
 
Sentensi ya mwisho ni [emoji817][emoji3581]
 
Na tukio la Mbowe siyo justification ya matukio ya Mkapa na Magu.
Mbowe alilewa ndo maana akaona aibu kufuatlia ,wapumbufu Kama ninyi ndo aina ya Vijana anaowapenda mbowe maana yake ni Kama nyumbu tu hawajuj hata kuhoji
 
Swali zuri. Hapa inabidi kuanzia wapi kufuatilia jambo hili?
1)Uchunguzi huru wa kimataifa.
2)Muhusika wa ratiba za walinzi(wale wa G4 na polisi) ajulikane ili aulizwe kwanini siku hiyo haukuwepo ulinzi kama ilivyopaswa.
3)Aliyeweza kung'oa CCTV cameras baada ya tukio kubwa kama lile na it's very likely kuna walioona ziking'olewa.
4)Waliosababisha uchunguzi usifanyike mpaka leo kila kitu ni kama kimefichwa lazima kuna mambo wanayajua na kuyaficha na kuna watu wanawalinda.

NB: Wachunguzi kama wa FBI au MI6 ni wazuri sana kuwatumia unajua huwa wanaanza na loopholes ambazo kwenye kisanga hiki ziko nyingi na ziko wazi peupe, nadhani kukiwa na nia si issue ngumu kuifuatilia.
 
RPC wa wakati huo, Muroto, alielezea vizuri jinsi wavamizi walivyokuwa wanafanya na maneno yao wakati wa tukio.
Nani aliyekuwa na uwezo wa kuchunguza zaidi ya polisi?
Bado najiuliza swali hili kuhusiana na tukio hilo;
Je Kamanda wa polisi alitoa taarifa za uongo? Kwa nini hakukanusha maelezo yake ya awali?
 
Tukio la kushambuliwa kwa lissu ni somo tosha, kutokuelewa ni makusudi.
 
Watu wamejiwekea kinga mzee
 
UKITAZAMA HIZO PICHA HAPO NA UKATAFAKARI KWA AKILI KUBWA UTAFAHA WANASIASA NI WATU WA AINA GANI
•Wapo kwa masilahi yao binafsi zaidi.
•Hawapo na wewe mtanzania halisia.
•Wakisha tibua hali ya hewa WAO hao ulaya.
::::TUWE MAKINI KWA SASA TUSIBURUZWE KAMA MAPUMBAVU YASIYO NA AKILI.
 

Swali langu litabaki Hivi - Hivi Kuna Serikali yeyote duniani itatuma mtu anayehitaji kupiga risasi zaidi ya mbili ili kumwuua mtu wamtakaye kufa? Na Maswali ya nyongeza ndugu Spika, je watahitaji kumfuata mahali Pa wazi kutenda Hilo? Je kwa karne Hii yenye mercenaries and darkweb ambako unalipa tu hela hata Dollar 300,000 na kutaja jina tu na picha, Serikali gani au mtu gani mwenye hela zake atashindwa kumaliza Kazi ya aina hiyo? Utajificha wapi?

Lakini kwa katiba yetu, uchaguzi 2015, risasi 2017, uchaguzi mwingine 2020, kulikuwa na Nini hasa tishio la kisiasa mpaka huyo Bwana aonekane Lulu na to make one bold enough to take that much risk?

So long as mwanamume anasimamaaaaaaa, kuuawa Ni overdose ya viagra Ni Rahisi sana.

Kuna wakati tunapenda sana kujifariji kwa maneno mengi Lakini ukitulia unaona upuuzi mtupu.
 
Never trust politicians. Ni watu waovu sana.
 
Nadhani uchunguzi huru hasa wa vyombo vya kimataifa vilivyobobea kwenye masuala hayo ndiyo itakuwa suluhisho.
Swali, kwanini uchunguzi ni kama washika usukani wanaminya usifanyike?
Wanaogopa kitu gani?
Wanawalinda akina nani?
Nani anayezuia uchunguzi mpaka leo haufanyiki?
 
Watu wamejiwekea kinga mzee
Kujiwekea kinga hakubadili uwezo wetu wa kufikiri na kuchanganua mambo.
Tunahitaji taifa la watu wenye uwezo wa kufikiri kwa uhuru bila kufuata mkumbo.
 
Lissu alishambuliwaje?

Mo Dewji alitekwaje?

Ukijibu hayo utakuwa umejua nchi ilikua inaelekea wapi..
 
Mbowe,Msigwa na Lema walitoroka Bunge siku Ile wakaenda kulewa.
Halafu Mbowe akateleza kwenye ngazi.
Habari nimeipata from usually reliable sources, always reliable sources.
 
Wana siasa za kujinga wakati unatumia mpaka pesa kununua na kuhonga wanachama wao kisha unawapa ubunge,UDC, nk?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…