Kumbukumbu ya 30yrs ya kifo cha mwanamapinduzi Bob Marley

Kumbukumbu ya 30yrs ya kifo cha mwanamapinduzi Bob Marley

Dah, namkumbuka sana huyu Legend,
binafsi huwa namzimia sana, he was a hero, a true revolutionist!!!!!!!
Nakumbuka baadhi ya nyimbo zake kama,
Three little birds,
zion train,
I shot the sheriff,
Waiting in vain,
who the cap fit,
lol...just few to mention

Na nyimbo nyingine JUMP NYABINGH,GET UP STAND UP,TOP RANKING,BAD CARD,POSITIVE VIBRATION,RAT RACE,TIME WILL TELL,ZIMBABWE,BABYLON SYSTEM,SO MUCH TROUBLE IN THE WORLD,NK.
 
Alalala long alalala long lololilololong,

Girl i want to make you sweat..... dah jamaa alikuwa anatisha kwa tungo. RIP
 
Dunia leo inaadhimisha miaka 30 ya kicho cha mwanamapinduzi Robert Nesta Marley.
Music wake ulichangia kuleta hisia za kimapinduzi. Mchano wake uliheshimika sana hadi kupewa nishani ya amani na umoja wa mataifa .

Nakumbuka baadhi ya nyimbo zake za kimapinduzi kama:
1. Revolution
2. Babylon Chant
3. Redemption Song
4.Africa Unite

Ninamkumbuka kwa mchango wake mkubwa wa kimapinduzi.

R.I.P

Ni mwanamapinduzi wa kwanza duniani mwenye asili ya nusu Afrika aliyezipigia kelele nchi za MAGHARIBI kumaliza UBEBERU wao ktk Ardhi ya Afrika.Ila tunapo mkumbuka BM,Tusiwahau na akina MFALME wa WAFLME SIMBA WA YUDA HAILE SELLASIE, WALTER RODNEY,MARCUS GARVEY,FRANZ FANON,KWAME NKRUMA, n.k
 
Dah, namkumbuka sana huyu Legend,
binafsi huwa namzimia sana, he was a hero, a true revolutionist!!!!!!!
Nakumbuka baadhi ya nyimbo zake kama,
Three little birds,
zion train,
I shot the sheriff,
Waiting in vain,
who the cap fit,
lol...just few to mention

Na nyimbo nyingine JUMP NYABINGH,GET UP STAND UP,TOP RANKING,BAD CARD,POSITIVE VIBRATION,RAT RACE,TIME WILL TELL,ZIMBABWE,BABYLON SYSTEM,SO MUCH TROUBLE IN THE WORLD,NK.
 
Alalala long alalala long lololilololong,

Girl i want to make you sweat..... dah jamaa alikuwa anatisha kwa tungo. RIP
Kiongozi.

Taratibu bana, acha Miyeyusho.

BOB MARLEY na INNER CIRCLE wapi na wapi!
 
Back
Top Bottom