Jr Xavi Hernandez
Senior Member
- Feb 25, 2022
- 182
- 261
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hili pini linaitwa Nisamehe....Na Jay Moe&Bamboo....Ni hatari Mo mwenyewe alifunika hatari...Bamboo pia[emoji91]Najivunia kuwa mi' leo hii ( Uh-Huh )
Mwenye bahati (?) nahisi
Nliyofanya' mpaka naona kama si stahili kuwa hapa
Ni mengi nliyokosea, ukunsema, ukunichapa ( Yeah )
Ya dunia yanichanganya, ujana, starehe nyingi mpaka kumsahau Baba na Mama
Maisha tamaa, ndoto ni kutajirika
Hata Bill Gates ulichompa' nahisi ajaridhika ( No )
Wengi wana taabika ( Uh- Huh )
Ukimwi, umaskini, je Mungu wao nani au wao wamekosa nini? ( Kwanini )
Ndio maana sina budi kukushukuru ni mengi umeninusuru, naogopa nisije kufuru ( Yeah )
Moyo wangu umejaa hofu, naomba usiniache njiani' mi bado mpofu
Bado na yawaza maisha yangu baada ya kifo ( Baada ya kifo )
Nawaza vipi ntaweza kuiona pepo
HaswaaOne of the greatest rapper ever seen
Cowbama..Usinione msela kisa jinzi zangu kata K
Nishazama nazo hadi ikulu we muulize JK
Nakumbuka chorus yake ilikuwa tamu sana alihusika NgwairHili pini linaitwa Nisamehe....Na Jay Moe&Bamboo....Ni hatari Mo mwenyewe alifunika hatari...Bamboo pia[emoji91]