Kumbukumbu ya kifo cha Albert Mangwea

Kumbukumbu ya kifo cha Albert Mangwea

Jr Xavi Hernandez

Senior Member
Joined
Feb 25, 2022
Posts
182
Reaction score
261
ENDELEA KUPUMZIKA ALBERT KENETH MANGWAIR.

Reast easy Cowbama.
 
Attachments

  • IMG_20220528_073407_879.jpg
    IMG_20220528_073407_879.jpg
    31.1 KB · Views: 57
Najivunia kuwa mi' leo hii ( Uh-Huh )
Mwenye bahati (?) nahisi
Nliyofanya' mpaka naona kama si stahili kuwa hapa
Ni mengi nliyokosea, ukunsema, ukunichapa ( Yeah )
Ya dunia yanichanganya, ujana, starehe nyingi mpaka kumsahau Baba na Mama
Maisha tamaa, ndoto ni kutajirika
Hata Bill Gates ulichompa' nahisi ajaridhika ( No )
Wengi wana taabika ( Uh- Huh )
Ukimwi, umaskini, je Mungu wao nani au wao wamekosa nini? ( Kwanini )
Ndio maana sina budi kukushukuru ni mengi umeninusuru, naogopa nisije kufuru ( Yeah )
Moyo wangu umejaa hofu, naomba usiniache njiani' mi bado mpofu
Bado na yawaza maisha yangu baada ya kifo ( Baada ya kifo )
Nawaza vipi ntaweza kuiona pepo
 
Hili pini linaitwa Nisamehe....Na Jay Moe&Bamboo....Ni hatari Mo mwenyewe alifunika hatari...Bamboo pia[emoji91]
 
Mama juzi alinambia neno moja kubwa sana baada ya kuingia kwenye mazozano na mke wangu. Alisema mwanangu "hii dunia inapita na sisi wote tunapita, itafika mda kutakuja watu wengine wapya kabisa ambao hawajui na sisi tulikuwapo duniani.

Nakueleza ujifunze kusahau sio kila jambo likuudhi. Mambo mengine huwa yanakosa maana huko mbeleni". Asante nyingi kwa mama. .

Leo hii 28 May na bado siamini huyu mwamba ametutoka, kweli dunia tunapita heri yake yeye yuko mioyoni mwetu na kazi zake zipo kwenye fikra zetu. RIP Albert. .
 
Rest easy Cowbama.[emoji120][emoji120]
 
Back
Top Bottom