Kumbukumbu ya kifo cha Hayati Magufuli kwa upande wangu

Kwa matusi hayohayo' mwambie amtukane Mbowe ikiwa atabaki salama!
'Anatukanwa' anayefanya upuuzi, yeye si kichaa kwamba 'amtukana' hata asiyestahili kutukanwa. Kiuhasilia alikuwa 'anachanwa ukweli' japo ni haki yako kuyatafsiri yale kama ni matusi.
Vile vilikuwa ni vita dhidi ya adui/mshindani, kwani Mbowe naye ni adui/mshindani wake?
 
Ndio maana tuna court of law, magu alitakiwa atumie mahakama kupata Haki yake
 
Yangali wewe ni Mtumishi wa Mungu. Umenikumbusha kifungo cha Daniel wakati wa Mfalme Dario( Darius). Daniel akaibuka mshindi mbele ya mabwana jela wa Uajemi.
 
Tunaisubiri hii kwa hamu kama haiteta shida.
 
Baada ya hapo walimhukumu kwa hatia ipi?
 
..Mdude karibu sana.

..pia POLE kwa mateso uliyopitia.

..wewe ni Mtetezi wa HAKI na mzalendo wa nchi yetu.

..naomba nikushauri ukatoe ushuhuda wako mbele ya Tume ya Jaji Othman Chande.

..MUNGU azidi kukuimarisha na kukubariki.
Ameeni ameen
 
Hizo pamba kali ukiwa na Askari ndio mnava huko jela ruanda?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…