Kumbukumbu ya kifo cha Munga Tehenan

Hi ni Point.... Ikiwezekana yawe yanachapishwa Marudio
Mimi ningeomba wadau wwnye nakala za huyu bwana ama kiwanda alichokuwa anachapa magazeti tuzikusanye tufanye gharama ya kuzichapisha hapa jf kama special thread.amini nawaambia makala zile zitawasaidia wengi
 
Mkuu nimekuelewa Sana.... Mimi Ni Mmoja wa Watu waliopenda Kazi zenu.. Nitakutafuta Binafsi ili nipate Angalau vitabu vyenu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…