Kumbukumbu ya kuundwa kwa chama cha AA mwaka 1927 chini ya Sesilia Matola

Si uje na historia mbadala? Ikiwa ukisoma huelewi basi hata picha huoni?
SURA YA PILI

MASHIRIKA YA KIJASUSI

MOSSAD ‖ ISRAELI

Madai ya Waisraeli yanaanzia katika misingi ya kidini ambapo katika Biblia (kitabu kitakatifu wa Wakristu na Wayahudi), Kitabu cha Kwanza cha Nabii Musa kiitwacho Mwanzo (sura ya 12), kinaonesha jinsi Ibrahim alivyoitwa na Mwenyezi Mungu ili kumtumikia. Eneo hilo la Palestina ambalo zamani lilijulikana kama Kaanani, ndipo chimbuko la dini tatu kuu zenye msingi wa Ibrahim zilibuka. Dini hizo ni Uyahudi, Ukristu na baadaye Uislamu. Dini ya Wayahudi yenye misingi ya Biblia ya Agano la Kale, likianza na vitabu vitano vya Musa: Mwanzo, Kutoka, Hesabu, Mambo ya Walawi na Kumbukumbu la Torati. Ukristu ukianzia misingi kwenye Agano la Kale hadi Agano Jipya na Uislamu ukishika vitabu vinne vya Tourat ya Nabii Musa (a.s), Zabur ya Nabii Dawood (a.s), Injili ya Issa bin Mariam (a.s.) au Yesu na Kurani ya Muhamad (s.a.w).

Ibrahim, mwenyeji wa Uru wa Ulkadayo (Mesopotamia), leo Iraq, wa kabila la Waebrania anahama kutoka Iraq na kwenda Haran, Syria, na baadaye kuingia Kaanani (Uyahudi), ambapo Mwenyezi Mungu anamtokea katika njozi na kumwapia Ibrahimu kuwa, ardhi yote hiyo amepewa yeye na uzao wake na kuahidiwa Baraka. Yaani, kubarikiwa kwa kila atakaye mbariki na kwamba jamaa zote za dunia zitajibarikia. Pamoja na ahadi hiyo, Mungu anamwambia nabii Ibrahimu kuwa uzao wake utakwenda utumwani, Misri, kwa miaka mia nne (400) hadi kizazi cha nne, ndipo watakapookolewa na kupandishwa Kaanani.

Mizizi ya ugomvi huo inaanzia mnamo Karne ya Kumi na Tisa (19), wakati wa vuguvugu la utaifa la Uzayuni na Uarabu.

.....................,...........
Kutoka kitabu cha Ujasusi wa Kidola na Kiuchumi, Sura ya Kwanza, ukurasa 12.

https://www.amazon.com/gp/aw/d/9976...ds=yericko&dpPl=1&dpID=51wy-+exFYL&ref=plSrch
 
Huoni haya?
 
Huoni haya?
 
Naam, Ilm bila khiyana.
Maalim Faiza,
Huwa nasikitika sana ninaposoma hapa kejeli, kashfa na lugha za kudhalilisha
kuwa TAA kilikuwa chama cha kadha wa kadhaa.

Ndugu zetu hawajali kama hawa sie ni baba na babu zetu na tunaandika yale
waliyofanya wala hatukufanya hivi kutafuta ugomvi.

Mimi sikutegemea kuwa kitabu hiki cha maisha ya Abdul Sykes kuelezea vipi
alipokea kijiti kutoka kwa baba yake katika TAA hadi kufikia yeye na mdogo
wake kuasisi TANU kitakuja kuchoma nyoyo za wengi kiasi hiki.

Kuna kitu nadhani wengi hawakijui.

Wakati Abdul na Ally wako ndani ya chumba cha mkutano kuasisi TANU mdogo
wao Abbas yeye alikuwa nje ya chumba cha mkutano akitumwa kazi ndogo ndogo
za chama.

Abbas alikuwa kijana mdogo wa miaka 24 na ndiye aliyetumwa kumleta mpiga
picha wa ile picha maarufu ya waasisi wa TANU.


Abbas Sykes
 
Yericko,
Chini hapo Maalim Faiza kakuuliza, ''Huoni haya?''
Hiki hakiwezi kuwa kitabu.

Hakiwezi kuwa kitabu kwa sababu hayo uliyoandika hayatoki katika
kichwa chako.

Umekaa chini ukanyanyambua huku na kule.

Mimi nikilijua hili kwa muda mrefu ndiyo maana nikikuuliza sana nani,
''publisher,'' wa kitabu chako?

Ili kitabu kiitwe kitabu kinahitaji kiwe na kitu kipya.
Kazi ya kunakili haiwezi kuchapwa kitabu.
 
Teh teh teh!
Muandishi anakana maandishi yake daah!
 
Si uje na historia mbadala? Ikiwa ukisoma huelewi basi hata picha huoni?
Maalim Faiza,
Ndipo aliposema Maalim Haruna kuwa mjinga anahitaji kusomeshwa.

Anamkata jina Ally Sykes kwe kibri cha kijinga.
''Ndicho alichosema, ''Ally.''

Nimeweka vipande viwili kutoka mswada wake, ''Under the Shadow of
British Colonialism.''

Hicho ndicho alichosema, ''Ally.''
Naongeza kidogo kipande kingine nacho pia kidogo alichosema, ''Ally,'':



''I worked under a British lady who was secretary to the Medical Officer in charge of the African section of Arusha Hospital. My reputation had superseded me. Everyone knew about Ally Sykes, son of Kleist Sykes and Nyerere’s friend; agitator and founder member of TANU, the party which wanted to oust the British from Tanganyika. But the European staff was bent into making my life difficult whenever they had the chance.''

Mjinga pia ana haki ya kuingizwa darasani asome.
Elimu bila khiyana.
 
Sheikh Mohamed Said.
Shukran sana kwa hizi bayana zisizo na kificho kwa kweli yule ambaye atasema apati Ilm atakuwa na husda, najua jicho la husda ni baya sana linakausha mgomba.


Cc Mag3.
 
Huyu ndiyo muandishi wa kitabu.

Teh teh teh JF kuna vituko.
 
Mudir!
Nafyonza Ilm taarrtibu huku nakunywa kahawa na faluda.
 
Mudir!
Nafyonza Ilm taarrtibu huku nakunywa kahawa na faluda.
Ritz,
Bwana Ally mzee wangu kanisomesha mengi.

Umemwona Alphonce Akena hapo rafiki yake Ally Sykes...

Mikadi ya TANU ya Ally Sykes kaibeba yeye kuificha kwake Korogwe Police Barracks.

Ana historia inayojitegemea...

Huyo ndiye aliyetoboa tundu ndege akapuruchuka akaibukia London.

Yericko anasema ana kitabu cha ujasusi ndani hakuna habari za Kitwana Kondo wala Amiri Kweyamba wala Ali Mwinyi Tambwe wala Mohamed Omari Mkwawa wala Rashid Kayugwa wala chenga za Akena.

Dossa Aziz anasema kazi zote za hatari wakimpa Ally Sykes lakini wakitaka kuandika barua serikalini hiyo kazi ya Hamza Mwapachu, Abdul Sykes na Stephen Mhando alipofika Nyerere akaingizwa kwenye kundi la waandishi wa TAA.

Ally Sykes vitani Burma alikuwa "marksman," Wazungu wakimwogopa kwa kupiga, "bull," na alipata ile medali ya mkasi.


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mohamed Said haya unayoyaandika kwa kuegemea upande mmoja yana kasoro n.a. yatakuumbua mbele ya safari. Ubaya wa UKWELI haufunikwi kigodoro halafu ukatulia. Time will tell

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mohamed Said haya unayoyaandika kwa kuegemea upande mmoja yana kasoro n.a. yatakuumbua mbele ya safari. Ubaya wa UKWELI haufunikwi kigodoro halafu ukatulia. Time will tell

Sent using Jamii Forums mobile app
huyu mzee wa soga tushamwambia,tunamwambia na tutamwambia kwa porojo zake!
*njia ya muongo fupi umeumbuka na utaendelea kuumbuka mpaka ukamilifu wa dahari,na watu watapiga kaburi lako mawe wakikulaani wewe pamoja na kizazi chako chote kwa chuki ya udini unaipandikiza
 
Mohamed Said haya unayoyaandika kwa kuegemea upande mmoja yana kasoro n.a. yatakuumbua mbele ya safari. Ubaya wa UKWELI haufunikwi kigodoro halafu ukatulia. Time will tell

Sent using Jamii Forums mobile app
Tangawizi lipi ulionalo si kweli.
Tafadhali nionyeshe.

Sijaegemea popote bali ndizo nyaraka zaTANU hizo.

Huko si kuegemea bali kueleza yaliyojiri kwa ushahidi.

Research Methodology ndivyo inavyotaka.

Kuna ukweli zaidi ya kauli ya waasisi wenyewe wa TANU?

Au wewe uliyajua haya kabla ya kuyasoma hapa?

Mbona mnatishika na historia iliyopita zaidi ya nusu karne?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kama alivyofundisha Maalim Haruna mjinga anafunzwa kwa kuwekewa ukweli tena na tena na tena.

Nimeweka vipande vya "Under the Shadow of British Colonialism," vikielezwa na mwanachama muasisi kadi ya TANU No. 2.

Kama hizo ni porojo au soga yeye aje na ukweli.

Au niweke kipande kingine?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
km wewe yangekuwa yanatoka kwenye kichwa chako usingezunguka kwenda kupata soga kwenye majumba yao na wewe ukitumia nyaraka toka sehem mbali mbali km kwa 'ally', dom nk
hata wewe ulichoandika ni secondary,taarifa ambazo zipo!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…