Kumbukumbu ya kuundwa kwa chama cha AA mwaka 1927 chini ya Sesilia Matola

Umepiga kwenye mfupa hapa ataugulia sana
 
Unajidanganya sana na kuamini una ulimwengu wako ambao wengine hawataenda bila wewe
Yericko,
Hapana hiyo sentensi haina maana hiyo kuwa ni dunia yangu tu bali
ni msemo wa Kiswahili wa mtu kustaajabu kitu au jambo.

Haina maana kuwa wengine hawatafika.
 
Kuna siku miaka kadhaa iliyopita uliahidi utakuja na kanda ya "baba" ko wakati anaaga Diamond Jubilee, unakumbuka? Iko wapi na miaka mingapi sasa?

Kuna siku ukapinga kuwa Chief Mkwawa hakuitwa Abdallah, ukasema utakuja na facts kutoka Iringa, umekuja nazo?

Kuna siku ulidai Julius Nyerere ni babako mzazi, unakumbuka? Andrew Nyerere akaja kukuumbuwa.

Kuna siku kuna kijana alifunguwa uzi humu humu JF kuwa umemtapeli pesa zake. Unakumbuka?

Bado huna haya?
 
Unajuwa maana ya copycat? Unajuwa maana ya "plagiarism"?
Ukiweka vielelezo na vyanzo hayo yote yanakufa, unabaki usomi usio na mawaa, Tatizo mzee wako anatumia utafiti wa mnyororo mmoja tu,

Deisy Sykes mtoto wa Abdul Sykes mjukuu wa Kleist Sykes ndie aliyempa nyaraka Mwalimu wake wa chuo aitwaye John Ilife, na kitabu cha Mohamed chanzo cha historia nzima ni Daesy na John I,

Sasa tumia akili kujua kuwa kumbe historia ya Mohamed chanzo ni Sykes to Sykes, je unataraji jini hapo?
 
Wewe hata picha uliyobandika humu umetoa kwa Mohamed Said.

Kataa.
 
Una akili ya namna gani ndugu? Unaulizwa swali A, unajibu C, hebu soma swali tena kisha jibu
 

Nataraji historia ya Sykes Family na vipi waliianzisha TANU.

Wewe ulifikiri kuna nini zaidi?

Unaelewa kuwa hata jina la TANU Nyerere alikuta tayari limeshabuniwa miaka mingi kabla hajaja Dar?
 
Yericko,
Hapana hiyo sentensi haina maana hiyo kuwa ni dunia yangu tu bali
ni msemo wa Kiswahili wa mtu kustaajabu kitu au jambo.

Haina maana kuwa wengine hawatafika.
Uchapaji na uuzaji kitabu mtandani unazuia kufanywa marejeo ikiwa mapitio/marejeo ndio utetezi wako katika vitabu vyako?
 
Nataraji historia ya Sykes Family na vipi waliianzisha TANU.

Wewe ulifikiri kuna nini zaidi?

Unaelewa kuwa hata jina la TANU Nyerere alikuta tayari limeshabuniwa miaka mingi kabla hajaja Dar?
Historia gani huandikwa ya upande mmoja? Wapi Julius Nyerere aliwahi kutoa maoni au kuhojiwa na Mohamed Said ikizingatiwa kitabu chake kimetoka Mwalimu akiwa hai? Hakukuwa na umuhimu wa Rais wa TANU kuhojiwa juu ya historia ila ikawa mhimu mjukuu wa Kleist Sykes Mbuwane kuhojiwa na kutumia nyaraka zinazoitwa za baba yake?
 
Ndugu FaizaFoxy
Lini wazee wako walianzisha kupinga kutawaliwa au kudai uhuru hao wazee wako?

Mambo ya kupinga kutawaliwa na kudai uhuru aliasisi Julius Nyerere aliporejea toka masomoni na kuanzisha TANU, huko nyuma wazee wako walikuwa ni walevi wakiratibu mambo ya ubwabwa na biriani tu..
 

Unatarajia kwenye historia uwasaili wote unaowataja?

Hivi hizo shule mlienda kusomea ujinga?
 
Nyerere aliikuta TAA ipo ina wenyewe.

Hujajibu swali, unafahamu kuwa hata jina la TANU lilikuwa tayari limeshabuniwa kabla Nyerere hajaja Dar?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…