Mohamed Said
JF-Expert Member
- Nov 2, 2008
- 21,967
- 32,074
Kituko,Haya mambo haya, ni balaa, Huyo Mohamed Said naye ni wakuja tu, wametoka Congo wakaishia Musoma, kisha wakaja Mzizima, naye ni wakuja tu, so hiyo history anayoandika ni story ya wazee wake wahamiaji sio wana Mzizima
Pole sana kijana na niwie radhi kukupa mambo yaliyokuzidi...Yericko Nyerere
Umenifanya nicheke peke yangu kwa upuuzi ulioleta hapa. Kwanza kwa maelezo yako yote hakuna kitu kipya tusichokijua ulicholeta ! Zaidi ya kunakili kila kitu kutoka kwenye sources mbali mbali bila ya hata kutoa credits kwa mtu or kazi ulikotoa hizi habari.
Lakini pia nilitegemea wewe Yericko Nyerere kuleta hapa habari yote kuhusu jinsi mkutano ulivyokuwa umeratibiwa na bwana Nyerere kama ulivyosema kuwa mzee Mohamed Said amepotosha and so wewe umekuja kurekebisha! Badala yake umezunguka zunguka hapa bila ya kuelezea vitu hivi muhimu! Kama unataka kujadiliana kihoja lete historia kama unavyoijua wewe ukiwa na vyanzo kama mzee Mohamed Said anavyoleta, sio unapinga then huelezi kilichojiri..!
Sent using Jamii Forums mobile app
Watakupinga hawa mpaka Mtume Mohamed arudiWazee wako usitake kuwapa umaarufu nyerere ndyo mkombozi wa Taifa hili
Mohamed, Unapingana na Mwalimu Nyerere aloyeikuta TAA ipo taabani akafufua na kuchaguliwa kuwa rais kisha akaiunda TANU, wewe unamwamini mtoto wa Abdulwahid Sykes binti Daisy Abdul Sykes????Ubavu,
Yericko bado ni mwanafunzi katika uandishi.
Bado hajajua thamani ya mwandishi kuja na kitu kipya.
Anadhani unaweza ukakaa kitako na kunakili hapa na kunakili kule ikawa
ushaandika kitabu.
Nimejaribu kumfahamisha lakini ni mbishi hasikii la muazini, mnadi sala
wala la mteka maji.
Ubavu,
Ninalokusudia ni kutokana na maneno haya aliyosema Mwalimu Nyerere
siku alipozungumza na Wazee wa Dar es Salaaam Ukumbi wa Diamond:
''Wakati huo, mambo yalikuwa yanasinzia kidogo. Kwa muda mfupi mwaka ule, tukafufua-fufua, hasa kutoka Januari. Kufika Aprili, TAA ikafufuka. Tukafanya mkutano hapo, Anautouglou. Kwa muda mfupi mwaka ule, tukafufua-fufua, hasa kutoka Januari. Kufika Aprili, TAA ikafufuka. Tukafanya mkutano hapo, Anautouglou. Kwenye mkutano huu, wakanichagua kuwa Rais wao, wa TAA.''
Inakuwa tabu sana kwa wasomaji kusoma yale ambayo yanakinzana na
historia rasmi na khasa inapomgusa Baba wa Taifa.
Mwalimu Nyerere anasema yeye kaikuta TAA chini ya uongozi wa Abdul
Sykes ''inasinzia,'' lakini ukienda katika historia na kuangalia hali ilikuwaje,
ukweli unapingana na kauli hiyo.
Tanganyika nzima hali ya siasa ilikuwa ikiwatisha Waingereza.
Angalia hali ilivyokuwa:
''Uongozi wa TAA Makao Makuu ulianza kampeni ya nchi nzima kuueleza umma matokeo ya safari ya Kirilo kwenye Umoja wa Mataifa kuhusu mgogoro wa ardhi ya Wameru na vilevile kuchangisha fedha za kupeleka msafara mwingine kwenda Umoja wa Mataifa kuueleza umoja huo kuwa Tanganyika ilikuwa chini ya udhamini na Watanganyika walikuwa sasa na haki ya kudai uhuru wao. Kamati ya TAA ya watu watatu iliyowajumuisha Kandoro, Kirilo na Abbas Sykes iliundwa kwa ajili hiyo. Ally Sykes akiwa mweka hazina msaidizi wa TAA aliombwa ampelekee Kirilo hawala ya posta Usa River kama nauli ya kumwezesha kusafiri hadi Dodoma kujiunga na ile kamati ya watu watatu. Kulikuwa hakuna huduma ya fedha katika posta ya Usa River na fedha zile zilikaa hapo kwa muda bila ya kuchukuliwa hadi hapo zilipopelekwa posta ya Arusha mjini ambako Kirilo alizichukua. Kuanzia tarehe 26 Septemba, 1953 kwa takriban mwezi mmoja ile kamati ilitembelea na kuhutubia mikutano ya hadhara, ikikusanya fedha Dodoma, Mwanza, Bukoba, Ukerewe, Tarime, Musoma na Shinyanga. Rais wa chama cha TAA, kanda ya ziwa, Paul Bomani aliipokea ile kamati ya watu watatu na kuhutubia mikutano pamoja nao katika jimbo lote. Bomani aliwaambia wanachama wa TAA na wananchi wote mjini Mwanza kuhusu umuhimu wa kuchanga fedha kwa kwa kusudio hilo.''
''The TAA leadership at the headquarters organised a nationwide campaign to inform the people about the outcome of the Meru Land Case at the United Nations and to seek financial support to enable TAA to send another delegation to the United Nations to present and establish Tanganyika’s case as Mandate Territory seeking independence. A TAA committee composed of Kandoro, Kirilo and Abbas Sykes was formed for that purpose. Ally Sykes as the assistant treasurer was requested to send a money order to Usa River in favour of Japhet Kirilo to enable him travel to Dodoma to join the three-man TAA delegation. There was no money order facility at Usa River in those days and the money was held up at the post office for some time, but eventually Kirilo collected it from Arusha. [1] From 26 th September, 1953, for almost a month, the committee toured and addressed public meetings, collecting funds in Dodoma, Mwanza, Bukoba, Ukerewe, Tarime, Musoma and Shinyanga. The president of TAA, Lake Province, Paul Bomani received the three-man TAA committee and addressed meetings with them in the province. Bomani told TAA members and all Africans in Mwanza of the importance of contributing generously to the cause.'' [2]
[1] Money order receipt to Usa River from TAA, details not legible and Ally Sykes handwritten notes. Sykes' Papers.
[2] Report ya Lake Province Kwa Kifupi Iliyotolewa na Bwana Abbas K. Sykes, Sykes’ Papers. Also see Japhet, op. cit. p.62.
Hali hii si hali ya kuwa TAA ilikuwa imesinzia na Nyerere akaja kuiamsha.
Ninayo mengi ambayo ningeweza kuyaweka hapa kudhihirisha kuwa hali
ya siasa Tanganyika kwa wakati ule ilikuwa ya kutia moyo sana.
(Nimeweka hiyo nukuu ya Kiingereza kwa sababu ya rejea kwani katika
Kiswahili rejea zinasumbua kidogo).
Ukimwambia hivyo anaweza kulia ilimradi tu ujue anauchungu na KariakooHaya mambo haya, ni balaa, Huyo Mohamed Said naye ni wakuja tu, wametoka Congo wakaishia Musoma, kisha wakaja Mzizima, naye ni wakuja tu, so hiyo history anayoandika ni story ya wazee wake wahamiaji sio wana Mzizima
Haha.Mkuu Yericko huyo mzee yupo locked ktk karne mbaya. Yupo ktk chupa aliyotoka jin akafungiwa yeye huko. Anajitahidi kugeuza Lullabies kuwa real. Yupo busy kugeuza habari za wahenga kuwa real life events. Kachoka kuona Hollywood wakigeuza science fictions kuwa reality.Ila I wonder how atafanikiwa kugeuza wahenga stupidities kuwa reality.Inaelekea huko uswahili kwao ,huo upuuzi na sifa za kijinga ziliuzwa sana. Niliwahi mkuta mpuuzi mmoja anajichekesha kwa muarabu koko , anasema nyie ni "vijukuu vya mtume" mmeongezewa. huko uswahili kuna sifa km utege, busha, na sauti za kipuuzi km sifa kubwa sana.Huko uswahili uchawi ni sifa, huko uswahili, kuwapa vichaa maembe machanga na mabichi ni akili, huo uswahili kubaka malaya ni sifa, huko uswahili kumpa masikini wa kuja Maziwa yakiwa na mkojo ni baraka, huko uswahili kumpa mtu mikono alambe mikono baada ya kula ni jambo jema(Jiulize jinsi wanavyoshika mavi,maji kidogo bila sabuni zaidi yakujifukiza udi). Km mtu hajaweza kemea haya mambo unategemea dunia yenye ustaarabu mwingine atauweza?Pole sana kijana na niwie radhi kukupa mambo yaliyokuzidi...
Mkuu Nicholas njoo huku mzee wako mdini kaja
Yericko,Watakupinga hawa mpaka Mtume Mohamed arudi
Ubavu,
Yericko bado ni mwanafunzi katika uandishi.
Bado hajajua thamani ya mwandishi kuja na kitu kipya.
Anadhani unaweza ukakaa kitako na kunakili hapa na kunakili kule ikawa
ushaandika kitabu.
Nimejaribu kumfahamisha lakini ni mbishi hasikii la muazini, mnadi sala
wala la mteka maji.
Ubavu,
Ninalokusudia ni kutokana na maneno haya aliyosema Mwalimu Nyerere
siku alipozungumza na Wazee wa Dar es Salaaam Ukumbi wa Diamond:
''Wakati huo, mambo yalikuwa yanasinzia kidogo. Kwa muda mfupi mwaka ule, tukafufua-fufua, hasa kutoka Januari. Kufika Aprili, TAA ikafufuka. Tukafanya mkutano hapo, Anautouglou. Kwa muda mfupi mwaka ule, tukafufua-fufua, hasa kutoka Januari. Kufika Aprili, TAA ikafufuka. Tukafanya mkutano hapo, Anautouglou. Kwenye mkutano huu, wakanichagua kuwa Rais wao, wa TAA.''
Inakuwa tabu sana kwa wasomaji kusoma yale ambayo yanakinzana na
historia rasmi na khasa inapomgusa Baba wa Taifa.
Mwalimu Nyerere anasema yeye kaikuta TAA chini ya uongozi wa Abdul
Sykes ''inasinzia,'' lakini ukienda katika historia na kuangalia hali ilikuwaje,
ukweli unapingana na kauli hiyo.
Tanganyika nzima hali ya siasa ilikuwa ikiwatisha Waingereza.
Angalia hali ilivyokuwa:
''Uongozi wa TAA Makao Makuu ulianza kampeni ya nchi nzima kuueleza umma matokeo ya safari ya Kirilo kwenye Umoja wa Mataifa kuhusu mgogoro wa ardhi ya Wameru na vilevile kuchangisha fedha za kupeleka msafara mwingine kwenda Umoja wa Mataifa kuueleza umoja huo kuwa Tanganyika ilikuwa chini ya udhamini na Watanganyika walikuwa sasa na haki ya kudai uhuru wao. Kamati ya TAA ya watu watatu iliyowajumuisha Kandoro, Kirilo na Abbas Sykes iliundwa kwa ajili hiyo. Ally Sykes akiwa mweka hazina msaidizi wa TAA aliombwa ampelekee Kirilo hawala ya posta Usa River kama nauli ya kumwezesha kusafiri hadi Dodoma kujiunga na ile kamati ya watu watatu. Kulikuwa hakuna huduma ya fedha katika posta ya Usa River na fedha zile zilikaa hapo kwa muda bila ya kuchukuliwa hadi hapo zilipopelekwa posta ya Arusha mjini ambako Kirilo alizichukua. Kuanzia tarehe 26 Septemba, 1953 kwa takriban mwezi mmoja ile kamati ilitembelea na kuhutubia mikutano ya hadhara, ikikusanya fedha Dodoma, Mwanza, Bukoba, Ukerewe, Tarime, Musoma na Shinyanga. Rais wa chama cha TAA, kanda ya ziwa, Paul Bomani aliipokea ile kamati ya watu watatu na kuhutubia mikutano pamoja nao katika jimbo lote. Bomani aliwaambia wanachama wa TAA na wananchi wote mjini Mwanza kuhusu umuhimu wa kuchanga fedha kwa kwa kusudio hilo.''
''The TAA leadership at the headquarters organised a nationwide campaign to inform the people about the outcome of the Meru Land Case at the United Nations and to seek financial support to enable TAA to send another delegation to the United Nations to present and establish Tanganyika’s case as Mandate Territory seeking independence. A TAA committee composed of Kandoro, Kirilo and Abbas Sykes was formed for that purpose. Ally Sykes as the assistant treasurer was requested to send a money order to Usa River in favour of Japhet Kirilo to enable him travel to Dodoma to join the three-man TAA delegation. There was no money order facility at Usa River in those days and the money was held up at the post office for some time, but eventually Kirilo collected it from Arusha. [1] From 26 th September, 1953, for almost a month, the committee toured and addressed public meetings, collecting funds in Dodoma, Mwanza, Bukoba, Ukerewe, Tarime, Musoma and Shinyanga. The president of TAA, Lake Province, Paul Bomani received the three-man TAA committee and addressed meetings with them in the province. Bomani told TAA members and all Africans in Mwanza of the importance of contributing generously to the cause.'' [2]
[1] Money order receipt to Usa River from TAA, details not legible and Ally Sykes handwritten notes. Sykes' Papers.
[2] Report ya Lake Province Kwa Kifupi Iliyotolewa na Bwana Abbas K. Sykes, Sykes’ Papers. Also see Japhet, op. cit. p.62.
Hali hii si hali ya kuwa TAA ilikuwa imesinzia na Nyerere akaja kuiamsha.
Ninayo mengi ambayo ningeweza kuyaweka hapa kudhihirisha kuwa hali
ya siasa Tanganyika kwa wakati ule ilikuwa ya kutia moyo sana.
(Nimeweka hiyo nukuu ya Kiingereza kwa sababu ya rejea kwani katika
Kiswahili rejea zinasumbua kidogo).
Haha.Mkuu Yericko huyo mzee yupo locked ktk karne mbaya. Yupo ktk chupa aliyotoka jin akafungiwa yeye huko. Anajitahidi kugeuza Lullabies kuwa real. Yupo busy kugeuza habari za wahenga kuwa real life events. Kachoka kuona Hollywood wakigeuza science fictions kuwa reality.Ila I wonder how atafanikiwa kugeuza wahenga stupidities kuwa reality.Inaelekea huko uswahili kwao ,huo upuuzi na sifa za kijinga ziliuzwa sana. Niliwahi mkuta mpuuzi mmoja anajichekesha kwa muarabu koko , anasema nyie ni "vijukuu vya mtume" mmeongezewa. huko uswahili kuna sifa km utege, busha, na sauti za kipuuzi km sifa kubwa sana.Huko uswahili uchawi ni sifa, huko uswahili, kuwapa vichaa maembe machanga na mabichi ni akili, huo uswahili kubaka malaya ni sifa, huko uswahili kumpa masikini wa kuja Maziwa yakiwa na mkojo ni baraka, huko uswahili kumpa mtu mikono alambe mikono baada ya kula ni jambo jema(Jiulize jinsi wanavyoshika mavi,maji kidogo bila sabuni zaidi yakujifukiza udi). Km mtu hajaweza kemea haya mambo unategemea dunia yenye ustaarabu mwingine atauweza?
Hawa waswahili hawajui kwanini wakuja huwa wanawapita wenyeji, ukweli ni kwamba wageni walioweza kuja ugenini na kuweza kaa nao pamoja na uadui wao ni kwamba wapo smart enough kuwazidi na mafanikio yao sio msaada au sijui wamekaribishwa kwa wema.Ila wageni wame conquer. Sidhani km binadamu kuwafuga mbwa wenye asili ya ukali na mengine yanaweza kuwa attributed kwa mbwa.Ingekuwa hivyo basi mbwa wa asingekuwa anashambulia wageni. Uswazi kuna visa, kodi za fujo,ndoa za mkeka, kelele ukipika nyama sana, kelele ukichinja wewe ukawanyima nafasi ya kupata mnyama wa kutambika, uswazi mauzauza ni mengi hdi kwa wapangaji wenye nyumba hawana haya wala soni ,wala akili kuwa nyuba ni biashara.Na mpangaji ni mteja.HIvyo vitu kwao havina utaratibu wa kuvishughulikia ,wataelewa vipi dunia?
Yericko,Mohamed, Unapingana na Mwalimu Nyerere aloyeikuta TAA ipo taabani akafufua na kuchaguliwa kuwa rais kisha akaiunda TANU, wewe unamwamini mtoto wa Abdulwahid Sykes binti Daisy Abdul Sykes????
Mzee wetu anazeeka na imani yake kuwa Tanu ni WasauziHaha.Mkuu Yericko huyo mzee yupo locked ktk karne mbaya. Yupo ktk chupa aliyotoka jin akafungiwa yeye huko. Anajitahidi kugeuza Lullabies kuwa real. Yupo busy kugeuza habari za wahenga kuwa real life events. Kachoka kuona Hollywood wakigeuza science fictions kuwa reality.Ila I wonder how atafanikiwa kugeuza wahenga stupidities kuwa reality.Inaelekea huko uswahili kwao ,huo upuuzi na sifa za kijinga ziliuzwa sana. Niliwahi mkuta mpuuzi mmoja anajichekesha kwa muarabu koko , anasema nyie ni "vijukuu vya mtume" mmeongezewa. huko uswahili kuna sifa km utege, busha, na sauti za kipuuzi km sifa kubwa sana.Huko uswahili uchawi ni sifa, huko uswahili, kuwapa vichaa maembe machanga na mabichi ni akili, huo uswahili kubaka malaya ni sifa, huko uswahili kumpa masikini wa kuja Maziwa yakiwa na mkojo ni baraka, huko uswahili kumpa mtu mikono alambe mikono baada ya kula ni jambo jema(Jiulize jinsi wanavyoshika mavi,maji kidogo bila sabuni zaidi yakujifukiza udi). Km mtu hajaweza kemea haya mambo unategemea dunia yenye ustaarabu mwingine atauweza?
Hawa waswahili hawajui kwanini wakuja huwa wanawapita wenyeji, ukweli ni kwamba wageni walioweza kuja ugenini na kuweza kaa nao pamoja na uadui wao ni kwamba wapo smart enough kuwazidi na mafanikio yao sio msaada au sijui wamekaribishwa kwa wema.Ila wageni wame conquer. Sidhani km binadamu kuwafuga mbwa wenye asili ya ukali na mengine yanaweza kuwa attributed kwa mbwa.Ingekuwa hivyo basi mbwa wa asingekuwa anashambulia wageni. Uswazi kuna visa, kodi za fujo,ndoa za mkeka, kelele ukipika nyama sana, kelele ukichinja wewe ukawanyima nafasi ya kupata mnyama wa kutambika, uswazi mauzauza ni mengi hdi kwa wapangaji wenye nyumba hawana haya wala soni ,wala akili kuwa nyuba ni biashara.Na mpangaji ni mteja.HIvyo vitu kwao havina utaratibu wa kuvishughulikia ,wataelewa vipi dunia?
Unazungumza mambo ya kufikirika zaidi kuliko uhalisia, jambo muhimu umesema wazi kuwa humwamini Juluis Nyerere aliyekuwa Rais wa TAA 1958 wakati wa ziara ya John.Yericko,
Umeniuliza kama namwamini Daisy Sykes.
Sina sababu ya kutomwamini.
Sababu ya kumwamini Daisy si yeye kama mwandishi wa maisha ya
babu yake, Kleist Sykes la hasha, Daisy hana lake katika kile ambacho
kaandika kwa sababu yote aliyoandika yanatokana na aliyoandika babu
yake kabla hajafariki mwaka wa 1947:
Daisy Sykes Buruku, ‘The Townsman: Kleist Sykes’, in Iliffe (ed)
Modern Tanzanians, East African Publishing House Nairobi, 1973, pp.
95-114.
''Publisher,'' EAPH kamwamini na pia mhariri na bingwa wa historia ya
Afrika John Iliffe kamwamini na kitabu kimechapwa.
Ikiwa msomaji atasema kuwa hayo yaliyoandikwa ni uongo hakika ni
bahati mbaya za ikhitilafu.
Lakini ambacho unatakiwa kukizingatia ni kuwa katika historia ya TANU
mimi chanzo changu si Daisy bali ni baba zake, ndugu wawili Abdul na
Ally Sykes pamoja na wazalendo wengine.
Dossa anasema TAA ilikufa baada ya Nyerere kuchukua uongozi ikabidi
yeye na Abdul wawalete wazee ili chama kiinuke upya:
''Mara baada ya Nyerere kuchukua uongozi wa TAA chama kikaanza kusinzia, ushupavu na bidii iliyokuwepo wakati wa uongozi wa Abdulwahid vilitoweka...
Dossa anakumbuka kuwa alikuwa akisimama nje ya nyumba ya mwanakamati na kupiga honi. Mtoto au mke wa mwanakamati angetoka mlangoni kutoa habari kuwa hakuwapo, katoka ilhali yupo ndani. Kwa muda kidogo ilionekana kama Nyerere alikuwa kikwazo cha maendeleo ya TAA. Na huu ndiyo ulikuwa mwendo wa TAA, nguvu yake ilikuwa ikitegemea uwezo wa viongozi wake. Awamu ya kwanza ya uongozi wa Kleist Sykes na Mzee Bin Sudi katika makao makuu TAA ilipiga hatua kubwa. Vivyo hivyo katika zama za Ali Juma Ponda na Hassan Suleiman katika tawi la Dodoma, TAA ilikuwa ikisikika sana na uongozi wake uliheshimiwa hata nje ya Tanganyika. Abdulwahid alikuwepo kama makamu wa rais lakini alipendelea kumwona Nyerere akiendesha ofisi na kufanya maamuzi yake mwenyewe kama rais. Akakihofia kufa kwa chama, Abdulwahid aliwataka shauri viongozi wenzake wa ndani katika TAA - Ally, Dossa, Tewa na Rupia kuwa kipi kifanyike ili kudhibiti hali ile iliyojitokeza. Ilikuwa dhahiri tatizo lilikuwa ni katika kubadilisha uongozi. Wanachama walikuwa hawana imani na uongozi mpya katika ngazi ya juu. Hili linaweza kueleweka ikifikirika kuwa ilikuwa ni miaka mitatu tu huko nyuma wakati Abdulwahid na Dr. Kyaruzi walikifufua baada ya kupoteza mwelekeo baada ya Vita Kuu ya Pili. Iliamuliwa kuwa wazee Waislam wa mjini Dar es Salaam waombwe kumuunga mkono Nyerere.''
Yericko,
Je, umepatapo kujiuliza Mwalimu Nyerere alipelekwa na nani kwa wazee hawa?
Nimepata huko nyuma kueleza kuwa Nyerere alipelekwa Bagamoyo kwa
Sheikh Mohamed Ramiyya na Idd Faiz Mafungo na Idd Tosiri.
Ushajiuliza Nyerere aijuana vipi na Idd Faiz Mafungo na Idd Tosiri?
Haya ndiyo maswali yangu kwako.
Yericko,Unazungumza mambo ya kufikirika zaidi kuliko uhalisia, jambo muhimu umesema wazi kuwa humwamini Juluis Nyerere aliyekuwa Rais wa TAA 1958 wakati wa ziara ya John.
Hivyo mpaka hapo umejifungia chumbani na kuamini ngano za Daisy juu ya wazazi wake
Yericko,Mzee wetu anazeeka na imani yake kuwa Tanu ni Wasauzi
Kila la kheri.Nimeamua kwa hiari yangu kuachana na huu mnakasha, nawatakia washiriki wote mtakaoendelea kila la kheri. Narudi kwenye mambo muhimu zaidi kitaifa yanayojiri katika uwanja wa siasa...
Kusahihisha historia sio kupotosha historia...Yericko,
Si lazima uamini ninachosema.
Tumeishi miaka mingi na historia ya Chuo Cha Kivukoni.
Si lazima ujibu maswali niliyokuuliza.
Kukaa kimya pia ni jibu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Yericko,Kusahihisha historia sio kupotosha historia...
Hii inaitwa mkuki kwa nguruwe...Watu wengine wanasoma au wanasikiliza bila kujua kuna kitu kinaitwa critical thinking
Kuna hoja mbili kuhusu hili
1. ameondoa ushiriki wa watu makusuadi katika historia anayosema ni ya Tanganyika, ingawa mambo yakibana husema ya wazee wake na ikiwa ngumu zaidi husema ya Waislam
Kosa ambalo Kivukoni walifanya kwa kutotambua michango mingine, kwake lina uhalali
Hapa kuna urongo...2. Historia ina formula, kuieleza au kuiandika kwa mujibu wa matukio na wakati kama ilivyo
Jaribio la ku ''interject'' personal feelings or ideas, historia husota madole ya machoni dhahir shahir
Kwa waliosikiliza video, anasema Kleist Sykes aliunda AA na kisha Jamii fil Islamiya 1933. Mohamed hakueleza chochote kuhusu Cecil Matola.
Kumtaja Cecil ni kumtaja Rais wa kwanza na hivyo hoja ya Kleist kuunda AA inakufa.
Katika maandishia anasema, Kleist aliunda kwasababu alikuwa na pesa na mashuhuri.
haelezi Cecil Matola alikuwa msomi na 'immunity' dhidi ya Wakoloni kuliko Kleist
Tendo la kutomtaja Matola, historia haikukaa kimya imemnyooshea kidole
Mkuu mtanganyika wa kweli, kwanza asante kwa mchango huu, japo katika simulizi za mzee wetu huu kuna urong mwingi, pia kuna ukweli fulani, kwa vile ana kipaji za simulizi, kilichovumbuliwa na padri wa Katoliki, na ana uwezo mkubwa alioupata kwenye shule ya misheni pale Forodhani, hivyo hata akiongopa kiasi gani kwa kujazia urongo wa kuunga unga kwa malengo fulani, ("the motive behind", and "the man with a mission"), lakini simulizi zake ni tamu, hivyo sisi wapenda hadithi, tunapenda kumsoma kama kwenye "hadithi hadithi" " hadithi njoo, uwongo njoo, utam kolea"3. anasema Abdul Aliunda TANU, Nyerere akiwa Rais wa TAA kabla ya 1954.
Kitendo cha kumuondoa Nyerere, historia inamzaba kibao .
Huwezi kuwa Rais wa chama asiyejua transformation. Abdul hakuunda TANU, alishiri
Nyerere aliandika katiba ya TANU katika transformation ya chama kuwa ya kisiasa
Akafungua milango UN kwa kutumia usomi, na kupata Uhuru katika miaka 10
hasemi hilo, lakini historia inamsuata bila mtu kuandika kitabu kingine
anaweza kumdhalilisha Nyerere atakavyo, wanaosoma kwa critical thinking watakuwa na rafiki yao mmoja anayeitwa Historia atakayewasaidia kuchambua chuki na ukweli
Paskali,Hii inaitwa mkuki kwa nguruwe...
Hapa kuna urongo...
Mkuu mtanganyika wa kweli, kwanza asante kwa mchango huu, japo katika simulizi za mzee wetu huu kuna urong mwingi, pia kuna ukweli fulani, kwa vile ana kipaji za simulizi, kilichovumbuliwa na padri wa Katoliki, na ana uwezo mkubwa alioupata kwenye shule ya misheni pale Forodhani, hivyo hata akiongopa kiasi gani kwa kujazia urongo wa kuunga unga kwa malengo fulani, ("the motive behind", and "the man with a mission"), lakini simulizi zake ni tamu, hivyo sisi wapenda hadithi, tunapenda kumsoma kama kwenye "hadithi hadithi" " hadithi njoo, uwongo njoo, utam kolea"
"Paliondokea janja gaa,
Kajenga nyumba kakaa
Mwanangu mwana Sitti
Vijino kama chikichi
vya kujengea ukuta
na vilango vya kupitia".
Mwacheni Mzee wtu aendelee kutusimulia hadithi tamu.
Paskali.
Asante kwa hadithi nyingine nzuri na tamu ya Salum Abdallah Popo, ilaPaskali,
Hii si hadithi hii ndiyo kweli yenyewe.
Kwa mara ya kwanza iliwashtua wengi waliochukuliwa na historia mfano
wa Chuo Cha Kivukoni.
Mmoja katika wale wenye akili zilizopea aliamua kuzungumza na mimi.
Kwanza alitaka kujua historia yangu.
Nikamweleza historia ya babu yangu katika harakati za kupambana na
ukoloni:
''(Babu yangu) Salum Abdallah Popo alikuwa muasisi wa harakati za vyama vya wafanyakazi na alikuwa miongoni mwa watu wa mwanzo kabisa kuanzisha upinzani na kuunga mkono juhudi za kuupinga utawala wa kikoloni. Mwaka 1947 aliongoza mgomo wa kwanza Tanganyika wa wafanyakazi wa Tanganyika Railways katika majimbo ya kati ya nchi. Tanganyika ilipopata uhuru wake mwaka 1961 Salum Abdallah Popo aliachana mkono na Nyerere kama wengi walivyofanya na aliwekwa kizuizini na serikali chini ya sheria ya Preventive Detention Act of 1962 kwa ajili ya msimamo wake wa kuamini kuwa vyama vya wafanyakazi viwe huru. Akiwa mwenyekiti wa Tanganyika Railways African Union (TRAU) alipinga vyama vya wafanyakazi kuwekwa chini ya Tanganyika African National Union (TANU) chini ya Rais Julius Nyerere.''
Paskali
Huyu ni babu yangu na alikuwapo toka siku ya kwanza TANU inaundwa
na ni mmoja kati ya wanachama wa mwanzo wa TANU Tabora.
Salum Abdallah si ''character,'' katika kitabu cha hadithi.
''Halikadhalika natoa shukurani kwa marehemu Rashid Mussa ambae katika mazungumzo yetu, yeye bila kufahamu kuwa mimi ni mjukuu wa Salum Abdallah Popo alinieleza habari za babu yangu wakati anaanza siasa na jinsi alivyoongoza mgomo wa kwanza wa Tanganyika nzima pale Tabora mwaka 1947...
Ingawa vitabu vya historia havimtaji, lakini babu yangu yeye ndiye aliyeongoza mgomo wa kwanza wa Tanganyika mwaka 1947 dhidi ya Waingereza katika majimbo ya kati ya Tanganyika. Babu yangu alikuwa mmoja wa wazalendo wa kwanza wakati wa ukoloni kuanzisha harakati za vyama vya wafanyakazi. Vilevile alikuwa kati ya watu wa mwanzo kuiunga mkono Tanganyika African National Union (TANU), chama cha kizalendo kilichopigania na kunyakua uhuru kutoka kwa Waingereza mwaka 1961...
TAA ilipofanya mkutano wa siri katika shule moja pale Tabora ili kuchangisha fedha kumwezesha katibu wa TAA Jimbo la Magharibi Germano Pacha kusafiri Dar es Salaam kuhudhuria mkutano mkuu wa kuanzishwa TANU Julai mwaka 1954 mchango, mkubwa kupita yote ilikuwa shilingi ishirini. Fedha hizi alitoa babu yangu. Mkutano huu ulihudhuriwa na watu maarufu wa Tabora pamoja na baadhi ya waalimu kama Abubakar Mwilima, Harub Said na George Magembe. Hawa walikuja kuwa watu muhimu sana wakati wa harakati za kudai uhuru. Hata hivyo, babu yangu alitupana mkono na Julius Nyerere kama wengi walivyofanya, na alitiwa kizuizini na serikali mara baada ya uhuru chini ya Preventive Detention Act ya mwaka 1962...
Babu yangu Salum Abdallah na Kleist Sykes walikuwa majirani katika miaka ya 1930 nyumba zao zikitazamana katika Mtaa wa Kipata (sasa Kleist Sykes), na wote wakiwa wameajiriwa na Tanganyika Railways. Babu yangu akifanya kazi katika karakana ya kuyeyusha chuma. Lango kuu la kuingia loko shedi kama sehemu hiyo ilivyokuwa ikijulikana ilikuwa limeelekea katika mtaa ambao sasa unajulikana kama Mtaa wa Nkrumah. Hii ndiyo ilikuwa karana kuu ambayo treni na mabehewa yake yalikuwa yakifanyiwa matengenezo na vipuli kutengenezwa hapo. Kazi yake ilikuwa ngumu inayohitaji kufanyika katika hali ya joto la juu kabisa kutoka katika moto ambao ulihitajika ili kukunja chuma kwa moto mkali. Hii ilikuwa kazi ngumu iliyohitaji nguvu na afya nzuri, kazi hasa iliyomfaa babu yangu kwa tambo lake kubwa la Kimanyema. Kleist alikuwa amesoma katika shule ya Wajerumani. Kwa ajili hii basi alikuwa na kazi isiyokuwa na sulubu, wakati ule akiajiriwa kama karani wa mahesabu. Kleist na Salum Abdallah, baba yangu alinifahamisha, hawakuwa kwa hakika watu waliopendana sana. Wazulu wanafahamika kwa sifa ya shari kama walivyo Wamanyema. Lakini watoto wa Kleist na Salum Abdallah Popo, walikuja kujenga urafiki ambao ulidumu miaka mingi.
Wakati nakua, nilikuja kujua kuhusu watu hawa na mambo yaliyotokea Dar es Salaam hata kabla sijazaliwa mwaka wa 1952. Baba yangu, ndugu zake na watu wengine wa Dar es Salaam walikuwa ndiyo walikuwa walimu wangu kwa yote niliyojifunza kuhusu mji wenyewe na historia yake...''
Paskali,
Hii ndiyo ilikuwa, ''credential,'' yangu kwa huyu msomi.
Historia yangu ilimdhihirishia kuwa najua ninachoandika.
Sikulazimishi kuamini historia hii.
Tumeishi kwa miaka mingi sana na historia ya Chuo Cha Kivukoni na
hakuna aliyedhurika kwa kuamini historia ile.
Hayo yote niliyoweka hapo juu nimetoa katika kitabu cha Abdul Sykes.