Akili Kichwani
JF-Expert Member
- Jan 7, 2010
- 1,508
- 220
Wapendwa, mapema leo nimepata ujumbe huu kutoka kwa rafiki yangu mtanzania tunayesoma naye chuo kimoja. Ujumbe wenyewe unasema hivi :
Ndio nikakumbuka kuwa leo ni tarehe 10 march!
Ni kwamba kwa kifupi, huyu bwana aliwahi kufukuzwa nyumbani kwao akalazimika kuwa mtoto wa mitaani, mengi yalimtokea maishani mwake, mfano amewahi kujaribu kujinyonga mara mbili Mungu anamuokoa hatimaye akaapa kuwa hatajaribu tena kujiua. Kwa miujiza ukafunguka mlango wa shule, akanza shule, shetani akamfuata na huko shule, akapata mateso makuu na wakati mwingine akiangukia mikononi mwa vyombo vya dola lakini Mungu anaingilia kati na kumuokoa na hatari ya kufungwa……….…………………..
Historia yake ni ndefu sana na akikusimulia lazima chozi likudondoke kama una roho ya utu japo kidogo…… lakini kwa sasa yuko huku ng'ambo anachukua PhD! Huwa ana tabia ya kusitisha ratiba yake yote na kutumia siku nzima kama hii ya leo kumshukuru Mungu kwa matendo makuu aliyomfanyia maishani mwake na pia kutembelea watoto wasio na makazi na kuwafariji. I wish ningekuwa naye nimjoin kwenye sala yake ya shukrani, bahati mbaya niko mbali lakini kiroho niko naye ......................
NB:
Niliwahi kuleta habari za mtu huyu hapa jamvini huko nyuma, nimesearch ile thread sijaiona, anayeweza kuiona atapata mengi zaidi huko.
FURAHINI NA SHUKURUNI KWA KILA JAMBO KWANI HAYO NI MAPENZI YA MUNGU
MUNGU AWABARIKI
NDUGU YENU
AK
"Dear AK, Praise the Lord. On this day I thank God for the might works He has done in my life to deliver me from the persecution I suffered under my family. Please glorify the name of the Lord wherever you are"