Blaki Womani
JF-Expert Member
- Feb 28, 2011
- 11,229
- 13,442
am real touched by ur testimony! I glorify God for the might work to your friend, and this remind me on the grace of the good God!for wat so ever ups and down God has something huge in store for us,,,,Mungu amuinue zaidi
Thanks for this uplifting sharing,blessings
Miss Judith,
Naupenda sana huu wimbo hapo juu!!! na ule wa Reuben Kagame unaosema...."ntainua macho yangu nitazame milimani, msaada wangu watoka wapi? ninajua ni kwake Bwana. Anilindaye halali, ninajua hasinzii..nitokapo niingiapo, nijajua yuko nami"
Pia naupenda huu msitari..."Mwambie Mungu matendo yake yatisha kama nini.....na ahimidiwe Mungu asiyeyakataa maombi yangu wala kuniondolea fadhili zake" psalms 66
am real touched by ur testimony! I glorify God for the might work to your friend, and this remind me on the grace of the good God!for wat so ever ups and down God has something huge in store for us,,,,Mungu amuinue zaidi
Thanks for this uplifting sharing,blessings
jamani, machozi yananibubujika kwa fadhili hizo kuu za Mungu wetu. hakika jina la Bwana ni la kusifiwa sana.napenda niwashirikishe wimbo wa NITAMHIMIDI BWANA ulioimbwa na kwaya ya Uinjilisti Kijitonyama. wimbo huu umetokana na Zaburi ya 34.
ni wimbo mzuri sana wa sifa na kwa habari ya mtu huyu, sikiliza kwa akini ubeti wake wa pili, hakika utabubujikwa na machozi jinsi Bwana anavyotenda ajabu na ishara nyingi, lol, asante sana Akili Kichwani kwa kumtukuza Mungu kupitia ushuhuda wa rafiki yako. ubarikiwe sana
wimbo: NITAMHIMIDI BWANA
kwaya: Uinjilisti Kijitonyama
Albam: sina hakika
1.
Nitamhimidi Bwana kila wakati,
sifa zake zi kinywani mwangu daima X 2
Katika Bwana nafsi yangu itajisifu,
wanyenyekevu wasikie wakafurahi,
mwimbieni Bwana nyinyi pamoja nami,
na tuliadhiishe jina lake pamoja X 2
Kiitikio
Nalimtafuta Bwana akanijibu, milele
Akaniponya na hofu, Milele X2
Onjeni muone,
onjeni, ooh omjeni
onjeni muone, Bwana Yu mwema X2
2.
Nitamhimidi Bwana kila wakati,
sifa zake zi kinywani mwangu daima X 2
Masikini alimuita, Bwana akajibu,
Akamuokoa kwenye tabu, akawa huru,
malaika wa Bwana aja fanya kituo,
Kumzunguka kumuokoa,
Mtu wa Mungu X2
Nalimtafuta Bwana, milele
Glory to God
mpendwa MJ, haya maneno ya ubeti wa pili, nataka niyajze moyoni mwangu nitembee nayo kila mahali......... yaani Bwana akishamuweka mtu huru, malaika wake huja kwake na kufanya kituo akimzunguka na kumuokoa daima!!!!........ its amazing ........ ooh, the love of God surpasses all our understanding............. praise be to God..........jamani, machozi yananibubujika kwa fadhili hizo kuu za Mungu wetu. hakika jina la Bwana ni la kusifiwa sana.napenda niwashirikishe wimbo wa NITAMHIMIDI BWANA ulioimbwa na kwaya ya Uinjilisti Kijitonyama. wimbo huu umetokana na Zaburi ya 34.
ni wimbo mzuri sana wa sifa na kwa habari ya mtu huyu, sikiliza kwa akini ubeti wake wa pili, hakika utabubujikwa na machozi jinsi Bwana anavyotenda ajabu na ishara nyingi, lol, asante sana Akili Kichwani kwa kumtukuza Mungu kupitia ushuhuda wa rafiki yako. ubarikiwe sana
wimbo: NITAMHIMIDI BWANA
kwaya: Uinjilisti Kijitonyama
Albam: sina hakika
1.
Nitamhimidi Bwana kila wakati,
sifa zake zi kinywani mwangu daima X 2
Katika Bwana nafsi yangu itajisifu,
wanyenyekevu wasikie wakafurahi,
mwimbieni Bwana nyinyi pamoja nami,
na tuliadhiishe jina lake pamoja X 2
Kiitikio
Nalimtafuta Bwana akanijibu, milele
Akaniponya na hofu, Milele X2
Onjeni muone,
onjeni, ooh omjeni
onjeni muone, Bwana Yu mwema X2
2.
Nitamhimidi Bwana kila wakati,
sifa zake zi kinywani mwangu daima X 2
Masikini alimuita, Bwana akajibu,
Akamuokoa kwenye tabu, akawa huru,
malaika wa Bwana aja fanya kituo,
Kumzunguka kumuokoa,
Mtu wa Mungu X2
Nalimtafuta Bwana, milele ……………
Glory to God
From mtaani to PhD!, kweli acheni Mungu aitwe Mungu, akisema ndio binanadamu hawezi kusema hapana!
Naikumbuka hii story Mheshimiwa akili Kichwani
Lakini cha msingi aendelee kumshukuru mungu kwa yote na aamini kwamba hapa dunia kila mmoja ana namna ya mapito yake ya kupita
Ashukuru mungu kwa kila jambo kwani hiyo ilikuwa ni safari ya mafanikio yake
Siku zote mungu ni mwema na kila binadamu ameumbwa ka mpango wa mungu. ..
mpendwa MJ, haya maneno ya ubeti wa pili, nataka niyajze moyoni mwangu nitembee nayo kila mahali......... yaani Bwana akishamuweka mtu huru, malaika wake huja kwake na kufanya kituo akimzunguka na kumuokoa daima!!!!........ its amazing ........ ooh, the love of God surpasses all our understanding............. praise be to God..........
Mungu akubariki sana Miss Judith
mpendwa umegonga palepale moyoni mwangu,
huo wa mwambieni Mungu matendo yake yatisha kama nini umeimbwa pia na Rose Muhando na ameutoa katika zaburi ya 66, Reuben Kagame aliimba toka zaburi ya 121 na hata St James Tumaini kwaya kaloleni wana wimbo kama huo walioiimba toka zaburi hiyo hiyo na kila nisikiapo maneno ya hizo zaburi humgwaya Mwenyezi Mungu jinsi anavyotuzingira na kuhakikisha hatupungukiwi kitu maishani mwetu. ubarikiwe sana mpendwa
Glory to God
asante kwa kumbukumbu nzuri FL1.................. uliyoyasema yote ameyaona. nilikuwa naongea naye kwenye skype muda si mrefu na amenithibitishia kuwa amefungua JF na anafuatilia michango yetu invoendelea kwenye thread hii................ Mungu akubariki sana..............