kumbukumbu ya siku CHOZI LA DAMU lilipochuruzika



Asante dear Susy.....umekumbuka hata hili....kusema ukweli JF ni sehemu inayotufundisha mengi na kutujenga sana....mimi namuomba Mungu awabariki sana walioanzisha JF na wanaoifanya iendelee kuwepo....Mungu akubariki pia Susy na JF members wengine!!!
 
Dah, ashukuriwe Mungu kwa wema na fadhili zake nayapenda maneno haya ktk Zab 121:5-8

Bwana ndiye mlinzi wako, bwana ni uvuli mkono wako wa kuume. Jua halitakupiga mchana wala mwezi wakati wa usiku, Bwana atakulinda na mabaya yote, atakulinda nafsi yako. Bwana atakulinda utokapo na uingiapo tangu sasa na hata milele!!

Kwa hiyo katika Mungu tunao uhakika wa usalama wa maisha yetu kiroho na kimwili.
Hivi ndivyo tunavyomtukuza Mungu pamoja nanyi wapendwa. Endeleeni kubarikiwa na kushuhudia matendo makuu ya Mungu kwa shangwe na shukurani.
 
Ni seme nini? Ni Mungu tu anayeweza. Niwewe tu Bwana ni wewe tu.

AK, Mungu akaubariki kwa kushuhudia wanaJF ukuu na uweza wa Mungu
 
Sijaelewa hapa tunatakiwa kufanya nini kuchangia kitu gani??


sio kila thread kua uchangie, nyingine unaweza kujifunza, kufurahia, kulinganisha na maisha yako au ya mtu unaemjua ukapata faraja n.k

Glory be to God bana AK.
 

mkuu, Mungu akubariki sana kwa ujumbe mzito........... i am always retaining all praises to God the Almighty............
 

ubarikiwe sana mpendwa LD. Mungu azidi kukutumia kufikisha ujumbe wake alipokusudia yeye mweuntewe................. amen...............
 
Ni seme nini? Ni Mungu tu anayeweza. Niwewe tu Bwana ni wewe tu.

AK, Mungu akaubariki kwa kushuhudia wanaJF ukuu na uweza wa Mungu

Mungu ameuelewa ujumbe wa moyo wako na hakika atasema na watoto wake kwa ajabu na ishara nyingi zipitazo akili zetu.............. Mungu akubariki sana katibukata..................
 

kama vile milima izungukavyo yerusalemu, ndivyo Bwana awazungukavyo watu wake

Glory to God
 
Watu tunapitia mambo mengi ya huzuni na furaha.
Ahsante kwa kutukumbusha kumshukuru mungu.
Barikiwa sana.
 
Namshukuru Mungu kwa kunionyesha post hii ya ushuhuda
wa upendo wake kwetu. Pia namshukuru kwa kunikutanisha
na wapendwa hapa JF.

Nawatambuaje? kwasababu nikisoma post zenu nabubujikwa
na machozi. Mungu awabariki na tuzidi kumtukuza kwasababu
ni yeye pekee (YESU) ndiye anayestahili sifa.

Finally brethren, be strong in the Lord and in the power of
His might. Put on the whole armor of God that ye may be
able to stand against the wiles of the devil.

Ephesians 6: 10-11
 

mpendwa, nakusukuru sana. yaani umemtandika shetani makofi ya uso bila huruma. unajua shetani akisikia hiyo "armor of God" huwa anaweweseka hadi anapoteza fahamu!.

ubarikiwe sana mpendwa.

mimi pia nimefarijika sana kwa ushuhuda wa huyu ndugu. Mungu anayo full contol kwenye maisha yetu na jinsi alivyo mwingi wa neema na rehema, wakati tunajisahau na kufikiri kila tunalofanikiwa ni kwa sababu ya juhudi au ujanja wetu wenyewe. namshukuru sana huyu mpendwa wetu kwa kumrudishia Mungu sifa na utukufu wote. amina.

Glory to God
 

ubarikiwe sana mpendwa.......... ushuhuda huu hata mimi ulinigusa sana. mwaka jana tulikuwa pamoja na huyu ndugu ndani ya chumba chake kwenye hosteli yetu kwa siku nzima ya huu ushuhuda wake tukimtukuza Mungu, mwaka huu nimekuwa mbali kidogo kimwili kwa kitambo lakini kiroho niko naye hadi sasa............ kweli upendo wa Mungu wapita fahamu zetu zote......... naungana nawe kuwa tuzivae silaha za Mungu ili tuweze kuzipinga hila za shetani..............

nakuombea baraka za kuangusha milima.............. amina
 
dear Miss Judith,
nimeosma hii signature yako nikaoanisha na michango yako humu, nikahisi kuwa nawe una ushuhuda muhimu kwetu............... vipi unaweza kutumegea kidogo ushuhuda wako?............ ubarikiwe sana mpendwa..............
My body belongs to God, I am just holding it in TRUST


JUST BEING CURIOUS.............
 
sijaelewa hapa tunatakiwa kufanya nini kuchangia kitu gani??

ni mengi yanatokea, usipotumia muda kufikiri yale wanayopata wengine,
mama aliniambia mda mwingine watu wengine maisha yao uwa mikononi mwetu,
peace and love forever,
 
Eeeee Bwana sema neno lako moja tu na roho yangu itapona
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…