Kumbukumbu ya utotoni

torvic

JF-Expert Member
Joined
Mar 9, 2016
Posts
3,978
Reaction score
9,841
Ni moment gani ya utotoni ambayo uwezi kuisaushau kwenye maisha yako?

inawezekana ilikuwa ni moment ya kufurahisha sana au ya huzuni sana lakini mpaka sasa bado unayo akilini na kwa namna yoyote hauwezi kusahau
 
Ngoja waje ila Mimi siwezi kusahau nilivyo mpiga mawe baba mmoja akanifuata nilichezea vitasa hadi nikasahau home
 
Aisee nakumbuka kuna mzee mmoja nilimpita bila kumsalimia akaja kusema nyumbani eti huyu mtoto hana heshima nakumbuka nilikula mboko vibaya sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…