torvic JF-Expert Member Joined Mar 9, 2016 Posts 3,978 Reaction score 9,841 Jan 8, 2018 #1 Ni moment gani ya utotoni ambayo uwezi kuisaushau kwenye maisha yako? inawezekana ilikuwa ni moment ya kufurahisha sana au ya huzuni sana lakini mpaka sasa bado unayo akilini na kwa namna yoyote hauwezi kusahau
Ni moment gani ya utotoni ambayo uwezi kuisaushau kwenye maisha yako? inawezekana ilikuwa ni moment ya kufurahisha sana au ya huzuni sana lakini mpaka sasa bado unayo akilini na kwa namna yoyote hauwezi kusahau
Gwangzu JF-Expert Member Joined Dec 21, 2017 Posts 2,457 Reaction score 3,818 Jan 8, 2018 #2 Ngoja waje ila Mimi siwezi kusahau nilivyo mpiga mawe baba mmoja akanifuata nilichezea vitasa hadi nikasahau home
Ngoja waje ila Mimi siwezi kusahau nilivyo mpiga mawe baba mmoja akanifuata nilichezea vitasa hadi nikasahau home
A anamila JF-Expert Member Joined Apr 7, 2017 Posts 227 Reaction score 356 Jan 8, 2018 #3 Tarehe 1.1.2001 nilifungiwa nje hadi asubuhi
torvic JF-Expert Member Joined Mar 9, 2016 Posts 3,978 Reaction score 9,841 Jan 8, 2018 Thread starter #4 anamila said: Tarehe 1.1.2001 nilifungiwa nje hadi asubuhi Click to expand... Asee, michezo ilizidi au ulikimbia kipigo ndani
anamila said: Tarehe 1.1.2001 nilifungiwa nje hadi asubuhi Click to expand... Asee, michezo ilizidi au ulikimbia kipigo ndani
mshipa JF-Expert Member Joined Jun 16, 2015 Posts 12,253 Reaction score 22,843 Jan 8, 2018 #5 Aisee nakumbuka kuna mzee mmoja nilimpita bila kumsalimia akaja kusema nyumbani eti huyu mtoto hana heshima nakumbuka nilikula mboko vibaya sana
Aisee nakumbuka kuna mzee mmoja nilimpita bila kumsalimia akaja kusema nyumbani eti huyu mtoto hana heshima nakumbuka nilikula mboko vibaya sana