naumbu JF-Expert Member Joined Oct 28, 2010 Posts 4,717 Reaction score 8,083 Apr 14, 2013 #21 huyo ray abdul alikua ana majina kma mia na anarudia bila kukosea,sikujua kama alishafarik machek bob wa zaman. RIP watoto wa mujini
huyo ray abdul alikua ana majina kma mia na anarudia bila kukosea,sikujua kama alishafarik machek bob wa zaman. RIP watoto wa mujini
bucho JF-Expert Member Joined Jul 13, 2010 Posts 5,149 Reaction score 3,209 Apr 14, 2013 #22 Leo na mimi nimewakumbuka watoto wa mujini waliokuwa Arusha . Walikufa kwa ajali ya gari wakiwa wanatokea mawingu club kwenda crystal club enzi hizo . Ni miaka zaidi ya kumi sasa . R.I.P Erick macha na Victor karyongi.
Leo na mimi nimewakumbuka watoto wa mujini waliokuwa Arusha . Walikufa kwa ajali ya gari wakiwa wanatokea mawingu club kwenda crystal club enzi hizo . Ni miaka zaidi ya kumi sasa . R.I.P Erick macha na Victor karyongi.