Kumbukumbu ya watoto wa mujini waliotutangulia! Unamuongeza nani?

Kumbukumbu ya watoto wa mujini waliotutangulia! Unamuongeza nani?

huyo ray abdul alikua ana majina kma mia na anarudia bila kukosea,sikujua kama alishafarik machek bob wa zaman.
RIP watoto wa mujini
 
Leo na mimi nimewakumbuka watoto wa mujini waliokuwa Arusha . Walikufa kwa ajali ya gari wakiwa wanatokea mawingu club kwenda crystal club enzi hizo . Ni miaka zaidi ya kumi sasa .

R.I.P Erick macha na Victor karyongi.
 
Back
Top Bottom