Kumbukumbu yangu ya Sheikh Ilunga Tanga na Geneva

Sheikh mohammad said naomba nikuulize kitu ikiwa unaamini quraan na sunna je ulikuwa unasadiq aqida za sheikh ilunga ikiwa jibu ni yes je unaitikadi kua khilafa itarejea maana sheikh ilunga hakua muislam kanzu alikuwa ni mtu mwenye itiqad za qital kama jibu ni no ina maana sheikh ilunga alikua anapotosha umma juu ya maswala ya khilafa! !! Nataka kujua msimamo wako wewe kama wewe kwa kurejea khilafa iliyopotea tangu 1948 je itarudi! !
 
Rommy,
Bahati mbaya mimi ujuzi wangu katika hayo ni mdogo bora uwaulize watu wenye ilm ya dini.
 
Huyu si ndio mlezi was wale jamaa was MKIRU?
Of course jamaa alikuwa na guts na mitazamo ya kigaidi 100% kwani alihimiza hadi mauaji ya mapadri.
Marehemu asemwi vibaya lakini huyu mzee alikuwa hatari, alichukia sana wakristo hasa wakatoliki. Ndie muasisi wa neno mfumokristo miaka ya nyuma, baada ya yy kuondoka zile chokochoko zote zimeisha.
 
Mwenyezi Mungu Subhana wataalah amrehemu Sheakh Ilunga.. Niliposikia amefariki nilitamani kuja kumzika lkn nikichelewa kufika Dar.. Alizikwa Dar alisaliwa sala yake ya mwisho Msikiti wa kichangani ba kuzikwa nafikili makaburi ya Mwinyimkuu Magomeni..
Shehe yupo kwa mnyazi Sasa anakula mabikira
 
Swali gumu Sana hili kwa Mzee Mohamed Said hawezi kukujibu. Ila ndani ya moyo wa huyu Mzee Kuna chuki kubwa Sana dhidi ya Wakristo. Hata alipotoka Iran, alipozuiwa na maafisa usalama airport, alianza Kusema, Mimi ningekuwa Mkristo, mngenikamata???
 
Mohamed ni lini utatoa ushauri kwa taifa lako ili lizidi kuwa taifa la amani, mshikamano na upendo? hiyo elimu na exposure uliyonayo itumie kwa maslahi ya taifa lako utakumbukwa vizazi na wvizazi vijavyo
 
Kwanini ?
 
Hujui kiswahili
Tafuta maana ya hilo neno kabla hujamkosoa.
 
Kama hautokei pande za Bara basi utakuwa mutu ya congo.
 
Swali gumu Sana hili kwa Mzee Mohamed Said hawezi kukujibu. Ila ndani ya moyo wa huyu Mzee Kuna chuki kubwa Sana dhidi ya Wakristo. Hata alipotoka Iran, alipozuiwa na maafisa usalama airport, alianza Kusema, Mimi ningekuwa Mkristo, mngenikamata???
Heci,
Huenda mwenye chuki ni wewe.
Unamuhukumuje mtu usiyemjua?

Soma pitia unavyonitaja utatambua.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Go to hell shekhe Ilunga huyu alikuwa mtu mpuuzi sana,huwezi kuchochea waislam eti wakate wakristo vichwa huu ni upuuzi,na kwaanaeona Ilunga alikuwa sahihi nae nitatizo pia.Dini inayohamasisha waumini wake waue watu si yakutoka kwa mungu
Heci,
Huenda mwenye chuki ni wewe.
Unamuhukumuje mtu usiyemjua?

Soma pitia unavyonitaja utatambua.

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Uzi mzuri sana huu lkn wachangiaji mtihani sana sheikh ilunga alisimama kwenye ukweli sana
 
Umemjibu kiutu uzima kwa hekima na busara nyingi sana.
 
Mtu anayemwona Shekh Rogo na Illunga hassan walikia wema kwa nchi hii ujee kabisa wana elements za ugaidi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…