Mohamed Said
JF-Expert Member
- Nov 2, 2008
- 21,967
- 32,074
KUMBUKUMBU ZA BALOZI JUMA MWAPACHU
Balozi Juma V. Mwapachu amechapa kumbukumbu zake.
Balozi Juma V. Mwapachu amechapa kumbukumbu zake.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mzee Shirima piaAfrica na hasa Tanzania mtu akiandika kitabu ni kama UCHURO vile!! Sir. Andy Chande aliandika " A knight in Afica. A journey from Bukene" baada ya hapo akatutoka.. Rais Mstaafu. Ben Mkapa nae baada ya kutoa kitabu chake akatutoka! Balozi Juma Mwapachu nae ndio ametoa kitabu chake ; pengine muda umefika , hopefully not lakini inatisha!!
Kikwete aliahidi nae kutoa kitabu ,sijui atakitoa lini!!!
Umemsahau Mzee MachacheAfrica na hasa Tanzania mtu akiandika kitabu ni kama UCHURO vile!! Sir. Andy Chande aliandika " A knight in Afica. A journey from Bukene" baada ya hapo akatutoka.. Rais Mstaafu. Ben Mkapa nae baada ya kutoa kitabu chake akatutoka! Balozi Juma Mwapachu nae ndio ametoa kitabu chake ; pengine muda umefika , hopefully not lakini inatisha!!
Kikwete aliahidi nae kutoa kitabu ,sijui atakitoa lini!!!