Kumbukumbu za Balozi Mwapachu: Kitabu Kipya

Africa na hasa Tanzania mtu akiandika kitabu ni kama UCHURO vile!! Sir. Andy Chande aliandika " A knight in Afica. A journey from Bukene" baada ya hapo akatutoka.. Rais Mstaafu. Ben Mkapa nae baada ya kutoa kitabu chake akatutoka! Balozi Juma Mwapachu nae ndio ametoa kitabu chake ; pengine muda umefika , hopefully not lakini inatisha!!
Kikwete aliahidi nae kutoa kitabu ,sijui atakitoa lini!!!
 
Mzee Shirima pia
 
Umemsahau Mzee Machache
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…