Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu tafuta hela. Umaskini ni kitu kibaya sana, unaondoa hadi uwezo wa kufikiri!Katika kuchunguza chunguza walimtumia "ifrit" katika kazi hizi tena zilifanyika kwa muda mfupi kabisa na si maelfu ya miaka, infact hayakujengwa au kuchongwa na binadamu huyu sisi.
Hela tayari ninazo mkuu, ndiyo tunasoma knowledge ambazo hazipo wala hazifikiriwi katika uwezo wa binadamu sisi.Mkuu tafuta hela. Umaskini ni kitu kibaya sana, unaondoa hadi uwezo wa kufikiri!