Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 301,577
- 754,412
- Thread starter
- #2,381
Unajulikana kama jiji la minara 1000, Cairo nchini Misri ni mojawapo ya miji mikongwe zaidi ya Kiislamu duniani. Pamoja na misikiti yake maarufu, madrasa, hammamu & chemchemi, uzuri na haiba ya Cairo iko katika matumizi yake ya usanifu wa Kiislamu.