Kumbukumbu za ulimwengu (World Archives)

Ptolemaic-era Fertility/ Mother goddess Eroticon(?). Found in Egypt.

I can't find the museum where this is housed or what it's made of. I'll keep looking though.
 
Detail from the Limestone statue of Middle Kingdom, 12th Dynasty pharaoh Senusret I seated on a throne depicting Haru (Horus) and Sutekh (Seth) with the symbol of unity of the two countries (Lower and Upper Egypt) which make up Egypt. From Al Lisht.
Housed in the Egyptian Museum in Cairo, Egypt.

Maelezo kutoka kwa sanamu ya Chokaa ya Ufalme wa Kati, Nasaba ya 12 farao Senusret I ameketi kwenye kiti cha enzi kinachoonyesha Haru (Horus) na Sutekh (Seth) chenye ishara ya umoja wa nchi mbili (Misri ya Chini na Juu) zinazounda Misri. Kutoka kwa Al Lisht. Imewekwa katika Jumba la Makumbusho la Misri huko Cairo, Misri.
 
183-Million-Year-Old Fossil Fish From The Jurassic Unearthed In Farmers Field
 

Nazca Lines​

Fly above Peru’s Nazca Desert, and you’ll see huge geoglyphs that resemble animals and plants. Dubbed the Nazca Lines, the archeological finding dates back to between 1,500 and 2,500 years old. American historian Paul Kosok is credited as the first researcher to conduct an in-depth study of the Nazca Lines, the purpose of which is still a mystery.
 
the purpose of which is still a mystery....![emoji848][emoji2827]
kuna mada naiandaa kuhusu hili
 
Mshana,
Hawa viumbe wanaosemekana kuwa walimuumba binadamu je ndio wao waliumba Dunia na vitu vilivyomo? Je walivyomuumba binadamu kutokana na nyani, Nyani alikuwa tayari ameumbwa na nani?
Pia natambua ya kwamba kabla ya kuwa na binadamu wafupi kulikuwa na majitu ambayo ushahidi wa uwepo wao upo mpaka leo.
Sasa majitu yaliumbwa na nani? Nini kilisababisha kutoweka kwa uwepo wa majitu na hatimaye kuwa na vimtu?
Mshana Jr
 
Renegade kuna uwezekano mkubwa kabisa dunia aliyoumba Mungu ni ile iliyopo mashariki ya kati pale kwenye bustani ya Eden na kulikuwa na dunia nyingine za mataifa walioitwa wanefili.. Ukisoma maandiko kwa makini utaona Mungu anawataja watu wa mataifa ambao wanapaswa kuhubiriwa neno lake.. Kwa tafsiri ya kwamba hawa hawajui chochote kuhusu Mungu

Vilevile kuna dunia nje ya Eden ambayo Lilith alikimbilia huko.. Ithibati hizi zinapatikana baada ya kaini kumuua ndugu yake na kuondoka kwa baba yake kisha akaenda kuoa huko..
 
Kwa mantiki hii maana yake hoja ya kwamba mtu mweusi ndio original copy ya mtu aliyeumbwa na Mungu ni uongo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…