Duduvwili
JF-Expert Member
- Jan 31, 2015
- 4,355
- 4,476
Pambafmwaka 1963 watu saba walikufa kisa nyege huko india
source cnm
Sent from my SM-G532F using JamiiForums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Pambafmwaka 1963 watu saba walikufa kisa nyege huko india
source cnm
May be in Egypt.I need proper information about this picture someone told me it was dug up in south Africa, I don't believe himView attachment 2283278
Hakuna kodi bila watu.Nini kilitangulia, kodi au wafalme?View attachment 2288861
the purpose of which is still a mystery....![emoji848][emoji2827]View attachment 2310969
Nazca Lines
Fly above Peru’s Nazca Desert, and you’ll see huge geoglyphs that resemble animals and plants. Dubbed the Nazca Lines, the archeological finding dates back to between 1,500 and 2,500 years old. American historian Paul Kosok is credited as the first researcher to conduct an in-depth study of the Nazca Lines, the purpose of which is still a mystery.
Ukiiweka nitag.the purpose of which is still a mystery....![emoji848][emoji2827]
kuna mada naiandaa kuhusu hili
IPO sehemu Gani?View attachment 2311655
UNEXPLAINED ANCIENT STRUCTURE
Mshana,
Renegade kuna uwezekano mkubwa kabisa dunia aliyoumba Mungu ni ile iliyopo mashariki ya kati pale kwenye bustani ya Eden na kulikuwa na dunia nyingine za mataifa walioitwa wanefili.. Ukisoma maandiko kwa makini utaona Mungu anawataja watu wa mataifa ambao wanapaswa kuhubiriwa neno lake.. Kwa tafsiri ya kwamba hawa hawajui chochote kuhusu MunguMshana,
Hawa viumbe wanaosemekana kuwa walimuumba binadamu je ndio wao waliumba Dunia na vitu vilivyomo? Je walivyomuumba binadamu kutokana na nyani, Nyani alikuwa tayari ameumbwa na nani?
Pia natambua ya kwamba kabla ya kuwa na binadamu wafupi kulikuwa na majitu ambayo ushahidi wa uwepo wao upo mpaka leo.
Sasa majitu yaliumbwa na nani? Nini kilisababisha kutoweka kwa uwepo wa majitu na hatimaye kuwa na vimtu?
Mshana Jr
Kwa mantiki hii maana yake hoja ya kwamba mtu mweusi ndio original copy ya mtu aliyeumbwa na Mungu ni uongo?Renegade kuna uwezekano mkubwa kabisa dunia aliyoumba Mungu ni ile iliyopo mashariki ya kati pale kwenye bustani ya Eden na kulikuwa na dunia nyingine za mataifa walioitwa wanefili.. Ukisoma maandiko kwa makini utaona Mungu anawataja watu wa mataifa ambao wanapaswa kuhubiriwa neno lake.. Kwa tafsiri ya kwamba hawa hawajui chochote kuhusu Mungu
Vilevile kuna dunia nje ya Eden ambayo Lilith alikimbilia huko.. Ithibati hizi zinapatikana baada ya kaini kumuua ndugu yake na kuondoka kwa baba yake kisha akaenda kuoa huko..